Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

..Chadema hawajapata muda wa kutosha wenye utulivu kukiwasilisha chama chao nchi nzima.

..fikiria vita ambayo Chadema wamekuwa wakipigwa tangu mwaka 2016.

..pia kabla ya hapo wakati Dr.Slaa ni Katibu Mkuu kulifanyika kampeni ya nguvu sana kuipakazia Chadema kuwa ni chama cha Wakatoliki.

..Chadema hawana tatizo na Waislamu. Kama wangekuwa na tatizo Tundu Lissu asingepanda jukwaani na Shekhe Ponda na kuwatetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna.

..Na Waislamu wanapaswa kutafakari jinsi Ccm ilivyowadharau kwa miongo mingi sasa.
 
Hiyo sio shida ya CHADEMA, vyama vina tatizo la Ukanda na/au udini naturally.

CCM waliweza kukwepa hilo tatizo kwa sababu historia iliwabeba, chama dola kilichokua kimoja kwa wananchi wote chenye uongozi thabiti hadi ngazi ya shina, ndio kilijigeuza kuwa kuwa chama shindani cha kisiasa dhidi ya vyama vipya.

Pale 1992 ilitakiwa vyama vyote vya siasa vianze upya kwa ajili ya ushindani wa mfumo wa vyama vingi.
Jibu hili hapa uzi ufungwe.
Chadema haikuwa Neutral kilikuwa kinaonekana kama mali ya watu fulani kutokea kanda fulani.
Ili kiwe neutral anahitajika mwenyekiti wa kukisafisha kuiondoa hiyo dhana.
 
Hapa watakupopoa lakini lazima tuseme hatuwezi kusifia kila kitu.

ukweli hata hapa jukwaani tumeona hilo mara kadhaa na sio kuhusu udini tu hata kuhusu makabila

Utasikia watu wa pwani hawana akili na maneno kibao

Hili taifa ni letu sote kama kweli chadema wamedhamilia kukomboa hili taifa lazima wajitathimini kuhusu matamshi yao sometimes wanazingua
 
Mkuu waislamu siku hizi wameamka mtazamo wao kwa Chadema sasa hivi ni mzuri tofauti na mwanzo, waislamu wengi huku ninapokaa wanaikubali Chadema mbona na wanamkubali sana Lissu na Heche, mambo yamebadilika sana
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Tuko na mwenzetu katika imani na hatutaki atolewe kwenye kiti cha enzi.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mbona viongozi wakubwa tu waislamu walishika nafasi Chadema? Nakumbuka late Mohamed Mtoi alikuwa muislam ,kina Twaha ,Yule Kovid wa Sindiga aliyetolewa jela usiku usiku naye alishika position kubwa tu na wengi tu.

Halafu kitu kingine angalia idadi ya waislam ni ngapi TZ na ndiyo maana kila sehemu ukienda wakristo ni wengi hata huko SISIEMU wakristo ni wengi pia.

Jamaa wapo nyuma sana katika kuchangamkia fursa kwa sababu za kiimani zao ,muislamu kukopwa kwakwe ni zambi ,kushiriki issue ambazo zipo kinyume na dini zambi ,obvious watajitenga sana kwenye issue hizo.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Waislamu kwenye siasa ni upumbavu wa wazi kabisa
 
Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu

Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈

sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈

Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈

Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈

Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈

na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈

Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua

Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈

Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM

Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️

Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈

Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈

Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈

lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️

Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Watu wengine sijui mnafikiria kwa kutumia nini!
 
Hapa watakupopoa lakini lazima tuseme hatuwezi kusifia kila kitu.

ukweli hata hapa jukwaani tumeona hilo mara kadhaa na sio kuhusu udini tu hata kuhusu makabila

Utasikia watu wa pwani hawana akili na maneno kibao

Hili taifa ni letu sote kama kweli chadema wamedhamilia kukomboa hili taifa lazima wajitathimini kuhusu matamshi yao sometimes wanazingua
Kwa hiyo bora Ccm sio maana hawana ubaguzi wowote ule.
 
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.

Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!

Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Vipi kuhusu CUF na ACT?
 
Wkt RAIS ni Benjamin William Mkapa
CUF kuna Rip Maalim Sefu

Uchunguzi wangu waislamu walimchukia Benjamin William Mkapa tu 👈

sababu za msingi hawakuanazo kabisa za kumchukia Benjamin 👈

Lkn Wakristo wengi walikuwa upande wa CCM na Benjamin William Mkapa na kuwaona baadhi ya waislamu na CUF yao kama wapumbavu vile👈

Lkn kumbe jamii zetu zinafanana sana kitabia na kiakili au tuseme kiupumbavu👈

Leo Waislamu wengi wapo na CCM ileile kwanini chuki yao ilikuwa ni mtu mmoja na ayupo tena 👈

na baadhi ya Wakristo wengi leo wanateseka kumchukia RAIS Dk Samia Suluhu Hassan pasi na kosa lolote👈

Kisa Dini yake tu mazuri yake yote kwao hawataki kuyajua

Kumbuka ugomvi wao sio CCM 👈

Tujipe muda 2030 Wakristo wengi wanalejea CCM

Lkn waislamu wasasa wameipenda CCM hata chini ya Rip JPM walitulia vizuri
kwao kiongozi yoyote wapo pamoja nae
uwatoi yoyote sawa muhimu
CCM tu ✅️

Wakristo baadhi yao wameamia kwa muda Chadema👈

Ukweli CCM itaendelea kushinda milele Sababu jamii izi za Dini haziwezi kuungana👈

Kwasasa Serikali inafanya bidii kutuunganisha kikabila👈

lkn ukweli Udini vitabaki nguzo za Usalama wa kitaifa✅️

Serikali itaendelea kuzitunza Dini zote kubwa kwa wivu kubwa🤠
Umeeleza kitaalamu sana mkuu.
Natamani 2030 CCM imuweke Rizimoko kama mgombea wao wa Urais au hamna hamna awe Mwigulu ili kuvuruga hesabu za kidini za Catholic-Bakwata-Catholic-Bakwata-Catholic
 
Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
Waafrika akili zetu ni kama nyani... pengine. CCM siyo wajinga kukataa uchaguzi huru kwa gharama za vifo na vikwazo. Kwa taarifa yako kila kabla ya uchaguzi TISS huwa wanafanya utafiti wa siri kwa kutumia opinion poll kuona jinsi wanavyokubalika na pia rais wao. Mara zote wanaona watagaragazwa ndiyo maana hawataki uchaguzi huru.
 
Vipi kuhusu CUF na ACT?
Sijawahi kuona viongozi wa Kikristo wakijishugulisha na harakati dhidi ya hivi vyama.
ACT naona pia ilikuwa na mchanganyiko sana wa watu wakina Kitila, Anna Mgwhira, Dorothy Semu n.k
 
Waafrika akili zetu ni kama nyani... pengine. CCM siyo wajinga kukataa uchaguzi huru kwa gharama za vifo na vikwazo. Kwa taarifa yako kila kabla ya uchaguzi TISS huwa wanafanya utafiti wa siri kwa kutumia opinion poll kuona jinsi wanavyokubalika na pia rais wao. Mara zote wanaona watagaragazwa ndiyo maana hawataki uchaguzi huru.
Kuna kitu lazima tuelewe mkuu,
Kukiondoa chama dola kama CCM madarakani katika mazingira ya siasa zetu lazima ushindi uwe mkubwa hasa mpaka isiwezekane kuiba, lazima pia makundi yote ya kijamii yawe yanakipinga haswa. Pamoja na BAKWATA kudharauliwa ila bado ina wafuasi wengi sana nyuma yake kuliko taasisi nyingine yoyote ile ya Kiislamu na wao kuendelea kuikumbatia CCM kwa wazi kabisa ni changamoto kubwa kwa upinzani.
 
BAKWATA na Ccm ni ndugu wa karibu.
 
Back
Top Bottom