BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.