Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wewe si ulipigwa ban juzi. Unaitafuta tena?Mchengerwa amekuwa na muonekano wa kichawi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ulipigwa ban juzi. Unaitafuta tena?Mchengerwa amekuwa na muonekano wa kichawi kabisa.
Uchawa hadi uzeeeni ni noma sana.Wanaishi kwa hisani ya Rais
Ni upumbavuUchawa hadi uzeeeni ni noma sana.
Huyu ni laana ya SongweLucas Mwamshamba ana mpaka kyupi za ccm
Pia Museveni yuko madarakani karibia miaka 40 sasa na Kagame zaidi ya miaka 20!Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Niliona mkuu , wapo kama hawana vichwa mkuu😁😁Uliliona lile Bango lao walilokuwa wanatembea nalo waliloliandika "MAGUFULI MTAKATIFU"😁
Tanzania kama vile tuna laana flaniPamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Kageme ni Dikteta lakini haitwi Dr fake same to MseveniPamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri anamlamba Mseveni miguu, yaani mawaziri wa Mseveni sio Chawa na sio wajinga na hawajikombi.
Kenya sasa ndio Balaa, kule huu ujinga haujawahi kuwepo Kenya, Kenya waziri yuko radhi aende nyumbani kuliko kujikomba kwa Raiasi, Waziri ni bora afe kuliko umvalishe fulana ya Raisi na Bosi wake.Yaani anaweza chagua kifo kuliko kuishi na kuwa Chawa.
Njoo sasa Jamhuri ya Chawa,ambako kujikomba ni jadi yetu na nimoja ya Survive Model yetu ndani ya Tanganyika, ndio means pekee ya watoto kuweza kwenda Chooni. Huku akili hazihitajiki bali kasi ya uchawa ndio inayo hitajika.
Huku tunanarisishana uchawa, na kuna mashindano kabisa ya nani ni mlamba miguu bora.
Mtu kama Waziri mkuu bila kumaba miguu anahisi anaweza poteza kazi.
Angalia hio.
Wanaiba mali za umma kinga yao ni kusifiaNiliona mkuu , wapo kama hawana vichwa mkuu😁😁
Hawa nao ni wasomi wa vyuo vikuu, elimu ya Tanzania ni ya kipumbavu sn haiandai watu kuwa wabunifu inaandaa kuwa chawaWamesahau tu hapo chini ya picha kuandika mama anaupiga mwingii
Ubinafsi wa hali ya juu sana🥲Wanaiba mali za umma kinga yao ni kusifia
Siyo kama ni laana tupuTanzania kama vile tuna laana flani
Mkuu umejiandaa? mimi sina vita ndogo nitashughulika na wewe kwa vipimo vile vile, karibuUjinga wa muanzisha uzi unaonesha namna vijana wengi wasivyo jua dunia ilivyo. Pamoja na Benjamini Netanyahu wanaonesha kiwango cha ujinga kwenye siasa.
Pole yenu
Kijana uhaha sana. Kama kuku mtetea. Unajua siasa japo kidogo? Vipi elimu yako ni la ngapi?Siyo kama ni laana tupu