Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Pia Museveni yuko madarakani karibia miaka 40 sasa na Kagame zaidi ya miaka 20!
Vipi waonaje tuiige na hiyo then tuache kuvaa ma t-shirt ili tufanane?
 
Tanzania kama vile tuna laana flani
 
Kageme ni Dikteta lakini haitwi Dr fake same to Mseveni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…