Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

Mkuu umejiandaa? mimi sina vita ndogo nitashughulika na wewe kwa vipimo vile vile, karibu
Yaani wewe ulete vita kwangu. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Njoo tu, unijaribu ndio utajua hujui.
Nimekuuliza kwanza Elimu yako ni la ngapi?
 
Hawa nao ni wasomi wa vyuo vikuu, elimu ya Tanzania ni ya kipumbavu sn haiandai watu kuwa wabunifu inaandaa kuwa chawa
Kiufupi unamaanisha n makondoo wanaongozaa makondoo wenzao mkuu..maana hao wasomi ndio wanaongozaa Kwa uchawa kuliko cc uku....kiufupi km taifaaa tunasafari ndefu
 
Kiufupi unamaanisha n makondoo wanaongozaa makondoo wenzao mkuu..maana hao wasomi ndio wanaongozaa Kwa uchawa kuliko cc uku....kiufupi km taifaaa tunasafari ndefu
Hawa wamepata nafasi kwa ushirikina kwa kuua ndugu zao na rushwa
 
Maskini Lukuvi hana raha kabisaa Kuvaa hiyo picha ya mwana mama wa kizenji.
 
As as long as hawalazimishwi sioni shida. Maana hata mawaziri na wanasiasa wasiovaa hawachukuliwi hatua basi, ndugu kunywa maji utulize machungu.

Yaani JF hupokea hata threads za HOVYO kama hii. Fulana yenye picha ya Rais imekukera???
We chawa afu unamkosea adabu mwanangu Huihui wa Bush stars hakuwa na chembe chembe za uchawa alikuwa mwanaume haswaaaaa.....you don't deserve the name.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…