Bodaboda oyeeeeMkeo nae huko aliko anasema Ni ngumu Sana kuendelea kuangaliana tu na dereva wa Bodaboda yake ambae ni rijali halafu wasitiane.
Hahahaha mambo haya magumu sanaMkeo nae huko aliko anasema Ni ngumu Sana kuendelea kuangaliana tu na dereva wa Bwodaboda yake ambae ni rijali halafu wasitiane.
Hahahaha mimi nimeandika ukweli tuAcha tamaa.
Mchukulie kama mwanao, mdogo wako ama dada yako wala roho wa matamanio hatakua juu yako.
La sivyo wewe ni mzinzi na mshenzi unataka kuutetea ufuska wako kwa kijisababu cha urijali.
Na mimi nimeandika ukweli.Hahahaha mimi nimeandika ukweli tu
Wewe ulielewa nini katika amri ileeee isemayo,"WALA USIMTAMANI MJAKAZI WA JIRANI YAKO"?.[emoji23][emoji23][emoji23]Habari wana JF ,
Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.
Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na Binti wa kazi ambae amekomaa na kakamilika vizuri?
Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza , je wake zetu wanalitambua hili na wanatuchukuliaje?
Ingefaa kwa hili wajifunze na waangalie namna nzuri ya kutunza familia maana wengine ni wavivu tu.
Mbona Prophet Ibrahim hakudharaulika mbele ya mkewe Hajra?Kumvua nguo na kuruhusu house maid wako kuiona tupu yako ndani ya nyumba unakoishi na watoto wako na mkeo huo ni ulimbukeni na umaskini wa akili,kwanza itamjengea mkeo kudharaulika mbele yake na sijui mtapishana vipi humo ndani!
Au utajifariji umeowa wake wawili?
Na mke akimtamani Houseboy tusemeje?Mbona Prophet Ibrahim hakudharaulika mbele ya mkewe Hajra?
Kama humli subiri wapangaji wenzio wanyatie usiku.