johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kuna wakati nilimsikia waziri Kabudi akiwaelimisha wakenya juu ya madhara ya ukabila na kwamba chanzo chake ni uroho wa madaraka. Na siku zote mtu mroho daima huwa mchoyo.
Baadhi ya wakenya waliguna wakauliza.........Mbona vyama vya upinzani Tanzania vimejengwa katika misingi ya ukanda na ukabila?, wakatolea mfano wa CUF ambao viongozi wakuu wanatoka mkoa wa Tabora.
Binafsi nimeangalia UDP ya mzee Cheyo, TLP ya Mrema na Chauma ya mzee Rungwe kiukweli hivi vyama vina sura ya kimkoa zaidi kuliko taifa.
Napendekeza Prof Palamagamba Kabudi ile semina aliyowapa wakenya mbele ya Rais wao mh Uhuru Kenyatta aje pia aitoe hapa nyumbani kwa viongozi wetu wapendwa wa vyama vya upinzani.
Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!