GENTAMYCINE, nchi ambayo haina
Maslahi ya taifa, haina wazalendo.
Kuna nchi iko mashariki ya uwanja. Idara nyeti (uchawi institution) ilikufa muda mrefu. Idara nyeti(uchawi) ndio uhai wa taifa lolote.
Nchi ile, hamna kitu kinachoitwa maslahi ya taifa, kuna maslahi ya viongozi, maslahi binafsi na maslahi ya chama, full stop[emoji1630]
Hebu fikiria, bundi wa taifa anakamatwa ughaibuni. Wachawi walilishindwa ku detect kwamba huko nje kuna kigagula kapewa mamlaka ya kukamata bundi wa taifa? Kwanini bundi alipelekwa huko?
Hii ni inside job. Kuna mchawi mmoja (kikundi/ team work) kachomesha ili tu apate kula yeye na familia yake huku taifa likipata hasara.
Ifike mahali wachawi wawe wanachunguzana nyenendo. A mchunguze B, K amchunguze A, Z amchunguze C, H amchunguze Z kuanzia kwenye simu, e mail binafsi na za ofisini, yaani kwenye kila alifanyalo ikiwemo safari zake za ndani na nje ya nchi