Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais.​

kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria?

Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?​
 
Back
Top Bottom