Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jan 13, 2025 #1 Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Jan 13, 2025 #2 Bi Ushungi yumo.