Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #21
Nataka kuuona kwa macho ya nyama?A hivyo ni mkubwa koasi cha kutosha kukaa ndani ya wengi wote waliokubali popote walipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kuuona kwa macho ya nyama?A hivyo ni mkubwa koasi cha kutosha kukaa ndani ya wengi wote waliokubali popote walipo
Bora ata umeita watumishi waje kutusaidia
Infropreneur kaka njoo kuna watu wanahitaji uponyajiBora ata umeita watumishi waje kutusaidia
Mkuu Unawaza kula na kunywa? Neno la Mungu lina Sema. Wazi kuwa mbinguni chakula hakuna wala, kuoa na kuolewa... Kwa. Ufupi hayo ni mambo ya mwili. Hapa tunaongelea Mambo ya Roho, maana Mungu ni Roho, nasi sote tukiuvua mwili twabaki na Roho. Hivyo mambo ya kula tuanwachia walio na mwili.Nataka kujua kwenye ufalme wa mungu tutakula na kunywa?au
Waite hao maanabii wa baali watupe majibu?Infropreneur kaka njoo kuna watu wanahitaji uponyaji
Hapa nimekuelewa ubarikiwe mtumishiMkuu Unawaza kula na kunywa? Neno la Mungu lina Sema. Wazi kuwa mbinguni chakula hakuna wala, kuoa na kuolewa... Kwa. Ufupi hayo ni mambo ya mwili. Hapa tunaongelea Mambo ya Roho, maana Mungu ni Roho, nasi sote tukiuvua mwili twabaki na Roho. Hivyo mambo ya kula tuanwachia walio na mwili.
Kama Alivoeleze mkuu, maana yba neno lililoulizwa, ufalme wa Mungu hapa duniani, unadhihirishwa kupitia mamlaka aliiyonayo, ndio maana ni katoa mfano wa. Baadhi. Ya mambo ya nayo thibitisha uwepo wa Mamlaka ya Mungu ktk Maisha yetu. 🙏
Kwa wapesi Ttu mamlaka hayo ya Mungu tunayaona pale unapokemea pepo na kutoka, kuombea wagonjwa na kupata uponyaji, kuomba Hekima na kupewa namna bora ya kuongoza au kufanya maamuzi hadi watu Wana shangaa... Hayo ni baadhi ya mambo ya nayo thibitisha kuwa ufalme wa Mungu uko ndani yetu!
Ufalme upi unaousubiria, ufalme tayari upo ndani yako... Na wewe ni mfalmeNataka kujua kwenye ufalme wa mungu tutakula na kunywa?au
Asante nimekuelewa shukuraniUfalme upi unaousubiria, ufalme tayari upo ndani yako... Na wewe ni mfalme
Shalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu".
"THAT THE KINGDOM OF GOD IS IN YOUR MINDSET "
HOW COMES?
JUMAPILI NJEMA!
Mbna unakabia juu hivyo tatatatatatatatahMungu ni dhana iliyotengenezwa na watu tu, usisubiri mbingu wala ufalme wa Mungu, tumia akili yako wewe mwenyewe unaweza kujenga dunia hii iwe nzuri kwa kadiri unavyotaka.
Ndiyo maana watu ambao hawakuridhika na mifumo ya kizamani ya mawasikiano hawakisubiri ufalme wa Mungu, walitengeneza internet, app ya JF, na sasa tuko hapa tunawasiliana moja kwa moja kutoka mabara tofauti.
Wangesubiri ufalme wa Mungu, tusingekuwa na internet wala JF leo.
Ni ukweli wa wazi tu.Mbna unakabia juu hivyo tatatatatatatatah
Mtumishi 😁😁hapa nimekuelewa kwamba tutafute kwamza ufalme wa mbinguni mengine tutazidishiwaMungu ni dhana iliyotengenezwa na watu tu, usisubiri mbingu wala ufalme wa Mungu, tumia akili yako wewe mwenyewe unaweza kujenga dunia hii iwe nzuri kwa kadiri unavyotaka.
Ndiyo maana watu ambao hawakuridhika na mifumo ya kizamani ya mawasiliano hawakisubiri ufalme wa Mungu, walitengeneza internet, app ya JF, na sasa tuko hapa tunawasiliana moja kwa moja kutoka mabara tofauti.
Wangesubiri ufalme wa Mungu, tusingekuwa na internet wala JF leo.
Lamomy
Ukisoma bible utagundua AGANO LA KALE NA AGANO JIPYA Mungu ameamua kujifunua kiutofauti kidogoNdio maana nataka kuelewa zaidi
Amina ubarikiweUkisoma bible utagundua AGANO LA KALE NA AGANO JIPYA Mungu ameamua kujifunua kiutofauti kidogo
AGANO la kale utaona Mungu alikuwa haishi ndani ya binadamu kiroho sababu ya uovu waliofanya Adam na Eve so Mungu akapunguza Ile partnership kati yake na Binadamu.
AGANO JIPYA.. hapa Mungu kaja kivingine kumtafuta binadamu kupitia mwanae wa pekee, hakuishia hapo tu akatupa uwezo wa kufanyika Wana ndani ya Kristo Yesu, pamoja na kuimarisha uhusiano wake na sisi akabadili na mfumo wake kutoka katika kupatikana kwenye sehemu takatifu kama vile mahekalu au madhabau akaamua kuhamishia sehemu ya uwepo wake ndani mwetu kupitia roho wake mtakatifu..
LENGO Kuu ni kuhakikisha adui mwovu hapati uhalali wa kutunyanyasa tena
😁😁😁Naona ushawataja wote ngoja tuite upande wa pili Rabbon Yuda Legacy
Asante ndugu min -me japo kichwa yako ni Ngumu ila Nakuombea Yesu akufungue,,,,,,, ... Najibu👉 Ufalme wa Mungu upo ndani yetu ikiwa na maana ya matendo yetu mema😁😁😁Naona ushawataja wote ngoja tuite upande wa pili Rabbon Yuda Legacy
Imeandikwa geukeni kwa akili ya maonyo yangu nami nitawamwagia Roho yanguShalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu".
"THAT THE KINGDOM OF GOD IS IN YOUR MINDSET "
HOW COMES?
JUMAPILI NJEMA!