Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

Kwahiyo ufalme wa mbinguni hautakuja duniani?
Mbingu Haipo.

You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on earth.

If you fail to live on earth, the fantasy of heaven is an illusion.
 
mamlaka ni uwezo

neno mungu ina maanisha aliyejuu/mkuu

hivyo alivyosema mamlaka ya kimungu ipo ndani yetu alimaanisha tunauweza wa hali ya juu katika utendaji wa jambo.
 
Infropreneur kaka njoo kuna watu wanahitaji uponyaji
Hawa watu wanapaswa wajikomboe kutoka kwenye utumwa wa fikra waachane na hekaya za kidini, Zisizo na kichwa wala miguu.

Every person agrees that there are fake religions, But no any person agrees that his or her religion is the fake one.

Ni kubishana tu, Miaka nenda rudi.
 
Sina uhakika kama aliyeandika huo mstari wa biblia alikusudia kusema alichosema
au aliandika kwa bahati mbaya tu....

Be it figurative, literal, or mistakenly written, BE WHATEVER IT MAY, sio tu kwamba ufalme upo ndani yetu (sisi wateule wachache) bali sisi ndio Mungu mwenyewe.

I am the God masqueraded as a human being, with flesh and blood, but extremely powerful from within.

AND as within so without, na vile watu wakikuona una kichwa na mikono kama wao wanajua wewe ni kinyangarika mwenzao, unawaangalia tu unasema Hiiiiiiiiiiiii.....

Nimejazwa kweli kweli, nimesukwa sukwa ndani na nje, nimejengwa kwa chuma cha pua. Na pembeni yangu kuna Miungu wanasimama na mimi kila hatua ninayokanyaga.

I am heavily protected in every step of the way. I take no challenge........ukinijaribu utaangamia na kuzama chini sana. Chini kweli kweli.

Cc: min -me DR Mambo Jambo Rabbon NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Pascal Mayalla
 
Warumi 14:17
Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu.

Nakushauri ukiingia YouTube mtafute Dr Myles Munroe na search somo la ufalme wa Mungu, ni mtu pekee aliyefundisha kwa kina zaidi somo hili kuliko wengine katika wale niliowasikia.
 
Kwa hiyo ufalme huu ni mdogo kiasi gani kuweza kukukaa ndani yetu?
Ungejua hata wewe ni dude kubwa ajabu lililopunguzwa ukubwa Ili litoshee ndani ya MWILI ,usingehoji Hilo .

Mtu ni Roho, anayo NAFSI na mtu huyo anaishi temporary ndani ya MWILI.

Ufalme wa Mungu unaingia ndani ya mtu anapompa Yesu Kristo maisha yake.

Kitendo Cha kumkaribisha Yesu aliye Mungu Mmoja ndani yako wewe ambaye ni ROHO, automatically unaupata ufalme wa Mungu ambao ni WA milele.

Mtu ni WA milele.
Mwili anaoishi mtu ni temporary.

Mwili unakufa, lakini mtu Hafi, hubadili tu form, anarudi katika umbile la kiroho ambalo ni kubwa zaidi.

Ikiwa huna ufalme wa Mungu ndani Yako, fuatisha Sala hii.

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
 
Sina uhakika kama aliyeandika huo mstari wa biblia alikusudia kusema alichosema
au aliandika kwa bahati mbaya tu....

Be it figurative, literal, or mistakenly written, BE WHATEVER IT MAY, sio tu kwamba ufalme upo ndani yetu (sisi wateule wachache) bali sisi ndio Mungu mwenyewe.

I am the God masqueraded as a human being, with flesh and blood, but extremely powerful from within.

AND as within so without, na vile watu wakikuona una kichwa na mikono kama wao wanajua wewe ni kinyangarika mwenzao, unawaangalia tu unasema Hiiiiiiiiiiiii.....

Nimejazwa kweli kweli, nimesukwa sukwa ndani na nje, nimejengwa kwa chuma cha pua. Na pembeni yangu kuna Miungu wanasimama na mimi kila hatua ninayokanyaga.

I am heavily protected in every step of the way. I take no challenge........ukinijaribu utaangamia na kuzama chini sana. Chini kweli kweli.

You would wish you hadn't.

Cc: min -me DR Mambo Jambo Rabbon NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Pascal Mayalla
Zaburi 82:6
Mimi nalisema ninyi miungu, watoto wa Mungu Mkuu.

Sasa mwana wa Mungu ushindwe kujitambua na kutumia uwezo ulionao, ukaombe msaada Kwa wafu🤔

Jitambue.
 
Shalom wanajf ,

Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?

LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu".

"THAT THE KINGDOM OF GOD IS IN YOUR MINDSET "
HOW COMES?

JUMAPILI NJEMA!
Rabbon
 
Kwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Ufalme wa Mungu, Haupo.

Achana na hekaya za Biblia zisizo na kichwa wala miguu.

Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on Earth.
Hoja zako ni nyepesi sana Mungu wetu amekamilika na ananguvu zote na ndio mana utaona watu Wana na PhD lakini wameamua kufanya kazi ya Mungu Wewe bila shaka ni team upinde
 
Back
Top Bottom