Ni vipi Ufalme wa Mungu uko ndani yetu?

Nataka kujua kwenye ufalme wa mungu tutakula na kunywa?au
Mkuu Unawaza kula na kunywa? Neno la Mungu lina Sema. Wazi kuwa mbinguni chakula hakuna wala, kuoa na kuolewa... Kwa. Ufupi hayo ni mambo ya mwili. Hapa tunaongelea Mambo ya Roho, maana Mungu ni Roho, nasi sote tukiuvua mwili twabaki na Roho. Hivyo mambo ya kula tuanwachia walio na mwili.
Kama Alivoeleze mkuu, maana yba neno lililoulizwa, ufalme wa Mungu hapa duniani, unadhihirishwa kupitia mamlaka aliiyonayo, ndio maana ni katoa mfano wa. Baadhi. Ya mambo ya nayo thibitisha uwepo wa Mamlaka ya Mungu ktk Maisha yetu. ๐Ÿ™
 
Hapa nimekuelewa ubarikiwe mtumishi
 

Uko sahihi Mkuu, umeeleza kwa lugha nyepesi zaidi
 

Mungu ni dhana iliyotengenezwa na watu tu, usisubiri mbingu wala ufalme wa Mungu, tumia akili yako wewe mwenyewe unaweza kujenga dunia hii iwe nzuri kwa kadiri unavyotaka.

Ndiyo maana watu ambao hawakuridhika na mifumo ya kizamani ya mawasiliano hawakusubiri ufalme wa Mungu, walitengeneza internet, app ya JF, na sasa tuko hapa tunawasiliana moja kwa moja kutoka mabara tofauti.

Wangesubiri ufalme wa Mungu, tusingekuwa na internet wala JF leo.

Lamomy
 
Mbna unakabia juu hivyo tatatatatatatatah
 
Mtumishi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜hapa nimekuelewa kwamba tutafute kwamza ufalme wa mbinguni mengine tutazidishiwa
Asante sana mtumishi
 
Ndio maana nataka kuelewa zaidi
Ukisoma bible utagundua AGANO LA KALE NA AGANO JIPYA Mungu ameamua kujifunua kiutofauti kidogo
AGANO la kale utaona Mungu alikuwa haishi ndani ya binadamu kiroho sababu ya uovu waliofanya Adam na Eve so Mungu akapunguza Ile partnership kati yake na Binadamu.
AGANO JIPYA.. hapa Mungu kaja kivingine kumtafuta binadamu kupitia mwanae wa pekee, hakuishia hapo tu akatupa uwezo wa kufanyika Wana ndani ya Kristo Yesu, pamoja na kuimarisha uhusiano wake na sisi akabadili na mfumo wake kutoka katika kupatikana kwenye sehemu takatifu kama vile mahekalu au madhabau akaamua kuhamishia sehemu ya uwepo wake ndani mwetu kupitia roho wake mtakatifu..
LENGO Kuu ni kuhakikisha adui mwovu hapati uhalali wa kutunyanyasa tena
 
Amina ubarikiwe
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Naona ushawataja wote ngoja tuite upande wa pili Rabbon Yuda Legacy

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Naona ushawataja wote ngoja tuite upande wa pili Rabbon Yuda Legacy
Asante ndugu min -me japo kichwa yako ni Ngumu ila Nakuombea Yesu akufungue,,,,,,, ... Najibu๐Ÿ‘‰ Ufalme wa Mungu upo ndani yetu ikiwa na maana ya matendo yetu mema

Hauwezi sema Ufalme wa Mungu upo ndani yako wakati matendo yako hayana wema

Wema ni zao kutoka katika upendo na upendo ndio AMRI KUU YA baba yetu YESU KRISTO

Kwa maana hiyo ukizifanya sheria za Yesu kristo kwa matendo na kuzishika wewe tayari Ufalme wa Mungu upo ndani yako
 
Imeandikwa geukeni kwa akili ya maonyo yangu nami nitawamwagia Roho yangu

Roho mtakatifu ndio zawadi kubwa ambayo Mungu ametupa
 
Kwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Ufalme wa Mungu, Haupo.

Achana na hekaya za Biblia zisizo na kichwa wala miguu.

Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on Earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ