Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mbingu Haipo.Kwahiyo ufalme wa mbinguni hautakuja duniani?
Hawa watu wanapaswa wajikomboe kutoka kwenye utumwa wa fikra waachane na hekaya za kidini, Zisizo na kichwa wala miguu.Infropreneur kaka njoo kuna watu wanahitaji uponyaji
Ungejua hata wewe ni dude kubwa ajabu lililopunguzwa ukubwa Ili litoshee ndani ya MWILI ,usingehoji Hilo .Kwa hiyo ufalme huu ni mdogo kiasi gani kuweza kukukaa ndani yetu?
Zaburi 82:6Sina uhakika kama aliyeandika huo mstari wa biblia alikusudia kusema alichosema
au aliandika kwa bahati mbaya tu....
Be it figurative, literal, or mistakenly written, BE WHATEVER IT MAY, sio tu kwamba ufalme upo ndani yetu (sisi wateule wachache) bali sisi ndio Mungu mwenyewe.
I am the God masqueraded as a human being, with flesh and blood, but extremely powerful from within.
AND as within so without, na vile watu wakikuona una kichwa na mikono kama wao wanajua wewe ni kinyangarika mwenzao, unawaangalia tu unasema Hiiiiiiiiiiiii.....
Nimejazwa kweli kweli, nimesukwa sukwa ndani na nje, nimejengwa kwa chuma cha pua. Na pembeni yangu kuna Miungu wanasimama na mimi kila hatua ninayokanyaga.
I am heavily protected in every step of the way. I take no challenge........ukinijaribu utaangamia na kuzama chini sana. Chini kweli kweli.
You would wish you hadn't.
Cc: min -me DR Mambo Jambo Rabbon NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Pascal Mayalla
Oh sisomagi biblia ila naona inafanana na nilichosema.Zaburi 82:6
Kwenye yote wewe ni mfalme mkuu, una mamlaka kamiliDuuuh mimi mfalme kwenye lipi?
RabbonShalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu".
"THAT THE KINGDOM OF GOD IS IN YOUR MINDSET "
HOW COMES?
JUMAPILI NJEMA!
Hoja zako ni nyepesi sana Mungu wetu amekamilika na ananguvu zote na ndio mana utaona watu Wana na PhD lakini wameamua kufanya kazi ya Mungu Wewe bila shaka ni team upindeKwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ufalme wa Mungu, Haupo.
Achana na hekaya za Biblia zisizo na kichwa wala miguu.
Heaven is the promise for the poor so that they don't demand happiness on Earth.