Ni virungu vya Polisi ndio vitampeleka Ikulu, kwa kura haendi ng'o!

Kwanza huyu mama anapaswa tu atuhurumie ili asigombee tena
 
Badala ya Kampeni ya nipeni kura nikaboreshe maisha ya watanzania, itakuwa ni... Nipeni kura nirudishe nchi yetu mikononi mwenu
 
Huyu jamaa ni kama alikuwa abaona huko tunakokwenda!

Ni kweli mpaka sasa haijulikani iwapo tutakuwa kwenye nchi yetu au la, DP world huwenda tukaanza kumsujudia ili tupate japo kula yetu
 
Huyu jamaa ni kama alikuwa abaona huko tunakokwenda!

Ni kweli mpaka sasa haijulikani iwapo tutakuwa kwenye nchi yetu au la, DP world huwenda tukaanza kumsujudia ili tupate japo kula y
Unadhani ana huruma hiyo basi?
Kwa hiyo aondolewe kwa njia gani mkuu
 
Huyu Rais awamu mbili za kuongoza itakuwa tumemkosea sana tukimpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…