Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .​

We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Nakuunga mkono mia mia huyu mr amejitahidi sana kwenye kutafsiri na kunogesha movies, kama mada inavyo sema kitu kinacho ni kera ni ile movie inaendelea mtafsiri anapigiwa simu na kupokea na kuonge kama dakika nzima, bora hata ange pause kidogo.
 
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .​

We je vitu gani huvipendi ?
Mwanangu IPYANA anazipenda mpaka homework inasahaulika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kujua level yakko ya ujinga imefikia kiwango gani anza kuangalia huo upuuzi

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
na wala siyo ujinga ,kuna wapenzi movie hata kama haelewi lugha utakuta anaangalia na anaelewa content ,movie nyingi tu za kifaransa na latino unaaangalia hata bila tafsiri,kwahiyo mjinga nini wewe
 
Back
Top Bottom