Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .​

We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
Mimi zilizofanyiwa dubbing naweza tazama lakini sio za akina DJ mack yani siwezi kabisa.
Movie zilizofanyiwa dubbing kuna vitu uwa wanabadilisha ili mtazamaji aelewi.
Mfano, mtu alisema chakula kitamu kama shushi, lakini mswahili hajui shushi ni chakula gani, so kwenye script wataibadili iwe chakula kitamu kama pilau au kiepe. Au nitakuwa mashuhuri zaidi ya Abdul Kabar, assume ni mtu mashuhuri huko lakini watz hawamjui, basi inakuwa nitakuwa mashuhuri zaidi ya diamond.
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Hata mm namuelewa sana
 
Kinachonikera hasa ni:
1. Tafsiri za Uongo
2. Picha hupungua ubora (Quality)

Kama itatokea nimelazimika kutazama filamu hizo zilizotafsiriwa basi nitatazama aliyotafsiri Dj Mack. Ana makosa yake ila ana afadhali kulinganisha na Ma-Dj wengine.
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Jamaa yupo fiti japokua nae sanyngne anatuingiza chaka!
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.

Mack au marphy?
 
Siangaliagi movie iliyotafsiriwa kwa kiswahili. Bora nisome subtitles na si kusikiliza maneno ya kiswahili.
 
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .​

We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
jamaa wanaongea uongo hatari. Sema kuna mmoja anaitwa dj ommy ndo anajitahidi
 
Back
Top Bottom