Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Wanatengeneza ili hata simu kitochi waone
Hiyo huondoa ladha kama utatazama kwenye kioo kikubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatengeneza ili hata simu kitochi waone
Kuangalia movie usioelewa lugha yake ni Upunguani, Utatoka na nini sasa kama lugha husika huielewi na unakaza fuvu hutaki zilizotafsiliewa si bora ukacheze game tu.na wala siyo ujinga ,kuna wapenzi movie hata kama haelewi lugha utakuta anaangalia na anaelewa content ,movie nyingi tu za kifaransa na latino unaaangalia hata bila tafsiri,kwahiyo mjinga nini wewe
Sawa mjanja wa Kijiji. Kumbe tafsiri ya lugha ni ujinga.Kelele za kipumbavu zimejaa, ziwezi kuangalia huo ujinga.
We ndo unajua maana ya "Sanaa ni burudani" siyo Makasiriko kama unaangalia Vita ya Kagera ujue Mapindi mengine hayanaga Mitihani kabisa unaangalia movie haijatafsiliwa na hiyo lugha hauko vizuri unatafuta nini sasa[emoji848]Mimi natazama movie iliyotafsiriwa na DJ AFRO.
hatafsiri maneno ila anaeleezea matukio kwa uelewa wake in funny way.
Ila wabongo hapana aisee.
Kwa siku hizi nimekua siyo mpenzi, filamu, ila miaka ya nyuma filamu akina Rambo, Komandoo kipensi, Delta force, Swazniger, Van Damme, Jack Chen, Arnold Schwarenegger, na Zingine nyingi za kipindi kile, Siku hizi sina muda wa kuangalia filamu kabisa.Hakuna mwenye akili timamu akaangalia huo ujinga.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Niliacha kuangalia movie hizi siku nilokuta tmovie moja ya dakika ,wamwikata wabongo wakatoa vipande 12,Movie moja inakatwa vipande vinne imenifanya niache kuangalia movie
Lufufu nae dj jaman[emoji16]Wengi wanaopenda zile movie zilizotafsiriwa na lufufu shule ilipita mmbali sana.
Sasa hapo shida iko wap? Soga nje ya mada hata akichapia haijakunyima content halisi ya Movie.Jamaa alikua anaielezea siraha akasema hii siraha inapatikana nchi mbili tu dunian nazo ni USA na Marekani.
Washamba kweli hawa watu wanaotokea vijijini wakisoma wakakosa ajira wanajichimbia majijini kulinda bland ndo wanajkuta waingereza saiv.Mnajikuta wasomi wakati mmekulia hizo movie
Ukitaka kujua level yakko ya ujinga imefikia kiwango gani anza kuangalia huo upuuzi
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Mm sipend maneno yao ya matusi tuuuuu...ohooo mara kulana mzigo.
Mimi namkubali Dj mjukuu mwana mbambadu japo anauongo mwingi lakini ananogesha muvi kea stori na maneno yako na amefanya niacha hata kuangalia za Subtitle coz hakuna madoido.
Sawa lee dai gil 😂Kitendo chenyewe cha kutafsiri tu
Kuna limovie limoja la kiganda niliona jamaa wanaangalia......cha kushangaza dj anatafsiri kwa kiganda piaHabari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .
We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
Naona dj umeamua uingie mzimamzima sababu kitumbua chatiwa mchanga. Dj wa kiswahili ni Afro tu.Kuangalia movie usioelewa lugha yake ni Upunguani, Utatoka na nini sasa kama lugha husika huielewi na unakaza fuvu hutaki zilizotafsiliewa si bora ukacheze game tu.
Kana vichwa vina funza kabisa unaanzaje kuangalia movie ya kifaransa,kikorea nk na hizo lugha huzijui tena zinatittle za kigiriki kabisa si kwamba utasoma.
Ni ulimbukeni na kuforce Ughaibu, Vuta chuma iliyotafsiliwa uangalie movie kwa raha sio kwa imagination kama unafunua albam ya Picha mnato(Photo)