Nakuunga mkono mia mia huyu mr amejitahidi sana kwenye kutafsiri na kunogesha movies, kama mada inavyo sema kitu kinacho ni kera ni ile movie inaendelea mtafsiri anapigiwa simu na kupokea na kuonge kama dakika nzima, bora hata ange pause kidogo.Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Ina nogesha kwa kiasi chake bwanaMi sipendi wanaongeza chumvi...yaani uongo
Kuna madj wengine ni miyeyusho sana.Nakuunga mkono mia mia huyu mr amejitahidi sana kwenye kutafsiri na kunogesha movies, kama mada inavyo sema kitu kinacho ni kera ni ile movie inaendelea mtafsiri anapigiwa simu na kupokea na kuonge kama dakika nzima, bora hata ange pause kidogo.
Mwanangu IPYANA anazipenda mpaka homework inasahaulika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .
We je vitu gani huvipendi ?
na wala siyo ujinga ,kuna wapenzi movie hata kama haelewi lugha utakuta anaangalia na anaelewa content ,movie nyingi tu za kifaransa na latino unaaangalia hata bila tafsiri,kwahiyo mjinga nini weweUkitaka kujua level yakko ya ujinga imefikia kiwango gani anza kuangalia huo upuuzi
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Zinakuwa na makelele sanaHabari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .
We je vitu gani huvipendi ?
Hakuna mwenye akili timamu akaangalia huo ujinga.na wala siyo ujinga ,kuna wapenzi movie hata kama haelewi lugha utakuta anaangalia na anaelewa content ,movie nyingi tu za kifaransa na latino unaaangalia hata bila tafsiri,kwahiyo mjinga nini wewe
HahahahaaNilichoka jamaa wa kwenye movie anasema i work for mossad huyu anaetafsiri akasema mossad alikuwa kiongozi wa Israel zamani
Inaongeza radhaMi sipendi wanaongeza chumvi...yaani uongo
Yuko vizuriSijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.