Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hapo no 2 tutatafuta suluhisho, si unajua tena issue za kiufundiKinachonikera hasa ni:
1. Tafsiri za Uongo
2. Picha hupungua ubora (Quality)
Kama itatokea nimelazimika kutazama filamu hizo zilizotafsiriwa basi nitatazama aliyotafsiri Dj Mack. Ana makosa yake ila ana afadhali kulinganisha na Ma-Dj wengine.
Oya mjukuu MTU hatari wewe,hasa movie zile za Korea za poriniMimi namkubali Dj mjukuu mwana mbambadu japo anauongo mwingi lakini ananogesha muvi kea stori na maneno yako na amefanya niacha hata kuangalia za Subtitle coz hakuna madoido.
Jamaa kwenye Korea pori hakuna anayemuweza ana kipaji cha kunogesha na kutunga maneno na misemo kuntu wakati mwingine hata mafunzo ya kimaisha.Oya mjukuu MTU hatari wewe,hasa movie zile za Korea za porini
Sisi tuliokulia uswahilini bila movie iliyotafsiriwa na DJ aisee hujaniweka kuangalia movie,ni mazoea tuliokuwa nayo
Watoto wa kishua hawawezi kuelewa utamu wake
SijuiLakini movie si inaeleweka? We ungepewa nafasi ya kutafsiri ungeweza?
kwani kuna mtihani baada ya kuangalia movie??Kuangalia movie usioelewa lugha yake ni Upunguani, Utatoka na nini sasa kama lugha husika huielewi na unakaza fuvu hutaki zilizotafsiliewa si bora ukacheze game tu.
Kana vichwa vina funza kabisa unaanzaje kuangalia movie ya kifaransa,kikorea nk na hizo lugha huzijui tena zinatittle za kigiriki kabisa si kwamba utasoma.
Ni ulimbukeni na kuforce Ughaibu, Vuta chuma iliyotafsiliwa uangalie movie kwa raha sio kwa imagination kama unafunua albam ya Picha mnato(Photo)
Aah wapi, waigizaji wazuri kuliko hata yeye wapo kibaoAtakuwa muigizaji mzuri
Umemaliza vizuri sanaZilinifurahisha utotoni ila kwa sasa No thank you!
Nilikuja kugundua kuna tofauti kati ya tafsri na simulizi, wanaotafsiri kibongo bongo wengi huwa hawatafsiri bali wanasimulia kutokana na wao walivyoielewa movie baada ya kuiangalia 'several times'. Japo kuna baadhi ya channels wamejiongeza saa hivi.
Kwa sasa napenda movies zenye 'subtitles' hapo ntaangalia iwe ya kihindi, kichina, kikorea, kirussia, ......you name it!
Ila za kusimuliwa sizipingi huku uswahilini kwetu zinabamba sio kipolepole na watu wana''enjoy life and that's all we need''.
Watoto wa juzi nyie hsmkuepo enzi za mkandaraNakuunga mkono mia mia huyu mr amejitahidi sana kwenye kutafsiri na kunogesha movies, kama mada inavyo sema kitu kinacho ni kera ni ile movie inaendelea mtafsiri anapigiwa simu na kupokea na kuonge kama dakika nzima, bora hata ange pause kidogo.
Hivi movie za dj afro zinapatikanaje mkuuDj afro na ommy dj kutoka Arusha nawakubali
AiseeHakuna mwenye akili timamu akaangalia huo ujinga.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app