Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Kikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;

Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk
Hahaha nyie ndio hiwa mnaunguza Mboga
 
Inauma wakati anamuwaza yeye wewe unamuwaza yeye. Sio fair kabisa halafu jamaa mwenyew hana maajabu [emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe huwezi kuona maajabu, sisi tunayaona
 
Kikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;

Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nina mpango wakuongeza kikorea kwenye cv yangu kama lugha ninayoweza kuongea[emoji12]
 
wabongo wamemkariri lee minho utadhan ndo staa pekee wa kikorea. Kila kitu wanamsingizia yeye
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio huyo wanamjua... Wakati huyo hata sio habari ya mujini sasa hivi
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Namkubali sana huyu kijana
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia vingunguti kidarajani, acheche yombo kwa limboa.

Woiiiiiiih
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Dj afro ndo mkali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuingizia vimisemo naona poa tu vinanogesha mfano niliona siku moja tamthilia ya kihindi mdada amepigiwa simu 'haloo mpenzi wangu' mdada akajibu 'mpenzi wangu hiyo kwio'[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Nashukuru mkuu kwa kuona mchango wangu katika jamii, nakuahidi tutakuwa pamoja, karibu sanaa mitaa ya Rikoma na Aggrey pale Kariakoo, pia jiunge kwenye group letu la WhatsApp
[emoji120][emoji120]
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Usimsahau na dj Ommy aisee.
 
Hivi watu mnawezaje kutazama hizi makitu?
Yaani kelele utadhani maspika ya kanisani
 
Mimi natazama movie iliyotafsiriwa na DJ AFRO.
hatafsiri maneno ila anaeleezea matukio kwa uelewa wake in funny way.

Ila wabongo hapana aisee.
[emoji419][emoji419][emoji23][emoji23][emoji23] So funny
 
Back
Top Bottom