- Thread starter
- #141
Hahaha nyie ndio hiwa mnaunguza MbogaKikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;
Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk