Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Sauti zao zinakuwa za chini halafu original voices zinakuwa juu kiasi kwamba wakianza kupigana ndani tafraniZile quality zao hahahaa sijui kwann zinqkuq mbaya
Movie za kutafsiriwa unaanzia wapi kusinzia mfano, hizo sauti zinavyoumiza na kudisturb masikio[emoji1787][emoji1787]
Ni kuenjoy mwanzo mwenga