Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

TRA CERTIFICATE 900,000/ ,DIPLOMA 1,200,000/ ,DEGREE 1,500,000/ naungana na Mkuu PERRY kusema kwamba mishahara ya Degree ya EDUCATION(589,000) ni posho TRA
 




Nimeipenda hii





Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Pia kama una mke au mchumba nenda naye kwa sababu huenda ikakuchukuwa miaka 5 ndo urudi kwenu. Ukienda na hao hata wanafunzi wa watu hawatokuzingua au kukutega. Ila jamani umbali nao shida. Unatolewa #ROMBO unapelekwa #MWISHO WA RELI. Duu! Inauma wapendwa. Ila inalazimu. Poleni sana wandugu.
 
TRA CERTIFICATE 900,000/ ,DIPLOMA 1,200,000/ ,DEGREE 1,500,000/ naungana na Mkuu PERRY kusema kwamba mishahara ya Degree ya EDUCATION(589,000) ni posho TRA

Kweli watu tunatofautiana hiyo salary. Mie ninapofanya Certificate 1,500,000/= Diploma 2,300, 000/= Degree 3,500, 000/=
 

Ahsante sana umenena vyema
 
watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.

Panua mawazo usjbu kirahs na kufuata ya kale tu kunawatu mishahara yetu haijui nmb nini.
 
Natumaini tuko humu kuelimishana...lakini hulazimishwi maana ukweli waujua weye tofauti na propaganda..kwani weye watetea nmb wafanya kazi pale?

Sifanyi nawe ni Mwalimu kweli kama ni Mwalimu na unatumia CRDB its okey ni chaguo lako bt kwa asilimia kubwa walimu wengi wanatumia NMB
 

foleni tu mbona kawaida sana kwa hapa Tz nani kakuambia nafuatilia mshahara wa m2
 
Ahsante sana umenena vyema

Kafanye yako mkuu wangu, kumbuka huwezi kutoka kwa kutegemea mshahara, wekeza sana. Na bahati nzuri kazi yako haikubani sana, so inakupa muda wa kusimamia miradi yako. wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima.
 
Kafanye yako mkuu wangu, kumbuka huwezi kutoka kwa kutegemea mshahara, wekeza sana. Na bahati nzuri kazi yako haikubani sana, so inakupa muda wa kusimamia miradi yako. wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima.

Nashukuru sana Mkuu
 
foleni tu mbona kawaida sana kwa hapa Tz nani kakuambia nafuatilia mshahara wa m2

ledman, namba 67 umeandika "Mi mwenyewe nasubiri Ajira tar 15 bt nshashuhudia Rafiki yangu ambaye anatumia CRDB mshahara wake ulikuwa unachelewa kila siku from there naiamini NMB pekee kwenye mshahara wa ualimu"

kwaheri...sirudi kujibishana nawe...
 
Dont let bastards get you down turning you arround......................

Always trust your instincts.
 
Mnaonaje hii mada ikihamishiwa kwenye jukwaa la chit-chat maana hamchangii, kila mtu anaongea lake.

Hivi nyie mnaofanya kazi TRA mda huu wa kuwa ofisini nyinyi mnakazana kuchati hapa, si ajabu nchi inaendelea kuwa masikini kutokana na watu wavuvi kama nyinyi.

Hemu fanyeni kazi huko.
 
Nunua paket2 za salama + pamba Kali coz vitoto vya shule vinawapendaga sana nyie wageni so jiandae kigegeda na kupata mke huko uendako maisha mema mleta mada.

duuh. haya ndugu, nawe pia kazi njema.
 
jamani tusubiri kwanza hiya 15 march wakitoa ndo tuombe mawazo lakini si mnajua serikali yetu isije kuwa danganya toto.
 

Blaza ile buku 15 uliyoniambia utanirudishia baada ya huduma ya VPN kukwama vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…