Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.
Kuna watu mna mawazo mgando aseee mimi wazazi wangu waalimu na wamenisomesha shule nzuri nimefika chuo sikuwahi kuomba mkopo mpaka nimemaliza degree ya kwanza,maisha ni vile umejipanga mbona kuna watu tulisoma nao kozi hizo unazoziamini wanahangaika na maisha hapa mjini afadhali hata waalimu wanaishi maisha yao tatizo mnadanganyika na magari ya mikopo sijawahi kudharau ualimu hata kama sikusoma hiyo kozi bado nna washikaji waalimu tunapishana kwenye mishe kama kawa tatizo la utoto linakusumbua subiri upate TRA sasa na ndoto zako.
TRA CERTIFICATE 900,000/ ,DIPLOMA 1,200,000/ ,DEGREE 1,500,000/ naungana na Mkuu PERRY kusema kwamba mishahara ya Degree ya EDUCATION(589,000) ni posho TRA
Mnawaonea donge wenzenu, na mtasugua gaga sana mtaani na mivyeti yenu ajira hakuna. Nendeni walimu mkafanye yenu, kwanza kazi haina hata stress. Haina kusimamishwa kazi wala nini, watoto wafeli wafaulu we mshahara uko palepale. Hawa wamesoma degree zao za law na social work wapo mtaani kazi hawna maisha yanawapiga vibao.
watumishi wa serikali wanatumia nmb kuwekewa salary hizo crdb labda kuamishia tu n kutunzia mishahara!nakushaur ufungue nmb.
Natumaini tuko humu kuelimishana...lakini hulazimishwi maana ukweli waujua weye tofauti na propaganda..kwani weye watetea nmb wafanya kazi pale?
Ukianza kazi utajua nini maana ya kuficha mshahara...kitu kimeingia anakwambia bado...afu badae akihisi unataka kustuka anakwambia amelipia madeni... na kwa jinsi ulivyokuwa huna kazi, labda ulikuwa unamwomba nae anakudanganya kimtindo...itakuaje ufuatilie mshahara wa mtu ilhali hujawahi anza kazi...
Jamaa kakushauri kiungwana lakini ka wapenda huko its okay..mahaba niue....utakutana na foleni mpaka utatia adabu.
Ahsante sana umenena vyema
mkuu ujue hii imeanza mwaka wa fedha 2013/14 kuanzia July 2013,mi sipo CRDB nipo ofisi ya CAG na mshahara wangu upo NMB!
Kafanye yako mkuu wangu, kumbuka huwezi kutoka kwa kutegemea mshahara, wekeza sana. Na bahati nzuri kazi yako haikubani sana, so inakupa muda wa kusimamia miradi yako. wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima.
foleni tu mbona kawaida sana kwa hapa Tz nani kakuambia nafuatilia mshahara wa m2
Umesema kwa mkurugenzi au shuleni mimi nililenga shuleni utakapopangwa
Nunua paket2 za salama + pamba Kali coz vitoto vya shule vinawapendaga sana nyie wageni so jiandae kigegeda na kupata mke huko uendako maisha mema mleta mada.
- Academic Certificates - Form 4, Form 6 kwanza - Vitahitajika ,
- Vyeti vya vyuo vitafuata baada ya kuwa vimetoka vitatumika kama viambatanisho ujazapo fomu za TSD ili kupata TSD Number.
- Passport size, andaa za kutosha maana maeneo mengine huduma za picha huwa ni shida.
- Kimsingi huwa hakuna usumbufu wowote sababu taarifa zako huwa tayari Mkurugenzi anazo.