Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

mmh. maisha hayapo hvyo ndugu yangu, hao unaowataja wamepitia mikononi mwa Walimu. Kama umemuelewa DZUKUDZUKU hili halikupi tabu, ni uchaguzi binafsi na ndo mfumo wa kimaisha ulivyo unaweza kushangaa huyu jamaa alikuwa na uwezo wa kuchukua kozi kubwa lakini amesoma Bsc Education, angekuwa dokta wanao nani atakaowafundisha chem&bios madokta unaowasema watatokea wapi kama si mikononi kwa watu kama DZUKUDZUKU, kama kila aliyesoma sayans awe dokta au famasia baada ya miaka fulani TAIFA litakosa hao maprofessional wakiwemo wa TRA. Hivyo usinidharau kuchagua ualimu, hiyo kazi unayojidai nayo sasa ni uchaguzi wako binafsi lakini ulipitia mikononi mwa mwalimu. Isitoshe mitaani kwetu tunawaona hao engineers na wengine wakichoma mahindi.
 
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

we mbwisi onaonekana kiroho kinakuuma wenzako kupata ajira eeh! sasa we endelea kupigika kitaani halafu baadae nije nikuoe kwa sbb nitakuwa nina uwezo wa kukuhudumia ww na familia yako hata km me!
 
we mbwisi onaonekana kiroho kinakuuma wenzako kupata ajira eeh! sasa we endelea kupigika kitaani halafu baadae nije nikuoe kwa sbb nitakuwa nina uwezo wa kukuhudumia ww na familia yako hata km me!

Kwa Mshahara wa 589,000/= ambayo ni posho Kwenye baadhi ya taasisi kama JWTZ,TRA,
 
jamani tusubiri kwanza hiya 15 march wakitoa ndo tuombe mawazo lakini si mnajua serikali yetu isije kuwa danganya toto.

wazo lako zuri, we subiri tu hadi hiyo tarehe ndo uanze kuomba ushauri.
 
Wakuu mimi kama mtoa mada napenda kuwashukuru wote kwa michango yenu, hasa ninyi mliojikita katika mada. Lengo langu nilitaka kujuzwa vitu muhimu atakavyohitaji mkurugenzi au ofisi ya shule, kama vielelezo au viambatanisho. Mtu mwenye hekima anaandaa mambo yake mapema kwa matokeo yeyote. Bahati mbaya mada hii imegeuka na kuwa kazi gani yenye mshahara mnono kuliko nyingine, hii si mada yangu nashauri aliyeianzisha mada hii hapa afungue thread yake kwa kichwa hiko. Nawashukuru sana waliochangia mada hii bila mizaha, yale yote mlionijuza nimeyachukua na nimeanza kuyafanyia kazi. Nawashukuru sana, mambo yakiwa safi tujuzane tulipopangiwa huu ndo mwanzo wa kufahamiana.
 
Wewe mjingaaaa kweli mimi nimetoa takwimu tu kwamba certificate ya EDUCATION ni 296,000/=, TRA CERTIFICATE 900,000/= ,na wala sijatamani salary!

Unachokiona kingi kwa wenzio ni kidogo sana, msome huyu jamaa

Kweli watu tunatofautiana hiyo salary. Mie ninapofanya Certificate 1,500,000/= Diploma 2,300, 000/= Degree 3,500, 000/=

Ridhika na ulicho nacho aisee, ukiridhika that will be a great deal of peace to your mind.

Umesikia we wa stori za TRA?
 
Kati ya CRBD na NMB, je ni benki gani rahisi kupata mkopo?. Masuala ya benki gani ufungue inafaa uamue baada ya kufika kwenye kituo cha kazi. Uamuzi wako utategemea, pamoja na mambo mengine, ukaribu wa benki husika kutoka kituo cha kazi.
 
Mie niliomba SONGEA, MTWARA NA CHUNYA ntafurahi sana nikichaguliwa maeneo hayo.
 
SaaMbovu you made me lough sana.

DZUDZUKU Nikweli kabisa najua wewe wafanya utani. Ila siyo serikalini ni limited company moja hivi ya wazungu. Ni vigumu sana kupata kazi na wafanyakazi ni wachache mno.
 
Last edited by a moderator:
DZUDZUKU Nikweli kabisa najua wewe wafanya utani. Ila siyo serikalini ni limited company moja hivi ya wazungu. Ni vigumu sana kupata kazi na wafanyakazi ni wachache mno.

Hapana sichukulii kama ni utani, ni hali halisi iliyopo, kuna kaka yangu yeye anafanya bandarini, anachukua mshahara wa milioni mbili kwa mwezi na bado marupurupu mengine, kwa hiyo nnacho jifunza kila sehemu kuna maslahi yake ambayo inabidi uridhike nayo.

Nb. Ukitaka kumtaja mtu andika @ ikifuatiwa na jina (kama lilivyo andika na mwenye ID) bila kuacha nafasi.
 
Nyambafu au unauza nanilii? acha dharau hv unajiona una pesa eti had kuwakashfu walimu? walimu kazeni buti mishaara hyo n mikubwa muhmu kutumia katka biashara, kilimo n.k mtatoka tu.
 
Nyambafu au unauza nanilii? acha dharau hv unajiona una pesa eti had kuwakashfu walimu? walimu kazeni buti mishaara hyo n mikubwa muhmu kutumia katka biashara, kilimo n.k mtatoka tu.

teh,teh sio kashfa ila tunawapa changamoto tu,wengine mshahara wa mwalimu ni posho ya kikao kimoja,na vikao ni 10 mpaka 12 kwa mwezi.tunawataka wadai mshahara mzuri wana kazi ngumu sana.ujue kuna walimu wanapokea NIL salary?na watoro sana shule
 
duh!umeongea ukweli wenye maumivu ndani yake...majitu yanakimbilia ualimu eti yapate mkopo chuo,sasa sijui watakua wanauza chaki huko mashuleni au vp,mishahara yao yenyewe ni kama posho kwa mtu wa TRA..mamaee,watajibeba huko vijijin waendako.

It seems ur speaking something that ur not aware of.Hivi uko timam kwel ww!? wangap wamesoma hzo coz unazofikiri zina mshahara mkubwa bt mpaka leo wanapgwa upepo kitaa? Niwalimu wangap wana maisha mazuri kuliko hata hao unaofkr mishahara ya walimu ni posho zao?
Anyway, i cant blame u coz inavyoonekana unaongea maneno uliyo karirishwa na vilaza wenye mawazo mgando kama yako,ambao hata kula yao ni ya shkamoo kama ww! Kama huamn nenda pale udom utawakuta kibao wanasoma post graduate za ualimu baada ya kupgwa na maisha kitaa.
l
 
Kafanye yako mkuu wangu, kumbuka huwezi kutoka kwa kutegemea mshahara, wekeza sana. Na bahati nzuri kazi yako haikubani sana, so inakupa muda wa kusimamia miradi yako. wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima.

U really deserve to be a councellor.keep it up!
 
unatakiwa kuwa na cheti cha kuzaliwa, chet cha f.4 na 6 pamoja na academic transcript.
 
Pamoja na hayo basi jarbun kuwapa moyo walmu serikali iwavunje moyo na sisi jaman?
 
nenda Duce pia wapo wa kutosha wanakauka midomo kama kuni,sio hivyo tu wengine wanamagenge wanauza mboga sokon
 
Ndugu umeongea point mana Watu wengine Wana dharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…