Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

Habari wanajf

Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao

hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa bara letu hili ambalo ujinga una mashabiki wengi sana kuliko vitu muhimu.

Karibuni kwa mchango.
Displin, responsible, and time na kusoma pia hiyo sio Japan tu. Hiyo ni jamii ya far East wamekuwa wakifundishwa hivyo. Hakuna muda wa kukaa na kuwalaum wazungu kama CC. Wao wanaamua kuanza bila kuangalia historia. Sisi acha tulumbane tu na tukishindwa tuwalau m wazungu
 
Simu inayotengenezwa ili itumiwe Japana kisheria inatakiwa kamera yake ikipiga picha itoe mlio na haiwezi kupunguzwa.

Imefanywa hivi kwakua Japan wana tabia ya kupiga picha wanawake waliokaa vibaya au waliopo maliwatoni. Japan wana niche za ajabu kwenye soko la porn.

Wana kitu wanaita tentacle porn, hentai porn, bukkake n.k. muigiza porn mzee kuliko wote ni mjapan
 
Back
Top Bottom