1.Control ya akili na kumbu kumbu yangu, situmii kilevi chochote ambacho kitaleta madhara kwenye kujitambua na kupoteza kumbu kumbu
2.Watu wangu wa karibu, familia na marafiki
3. Uaminifu/utiifu
1.UKOO wangu
2.Ndoto zangu Ambazo ni kuwa mbobezi kwenye fani za mazingira
3.la mwisho NI kuja kupiga hela ndefu Sana kama million 900 hivi Nina Imani Nina bahati nayo
moja kabisa ni utulivu.
mbili ni muziki.
tatu ni kutembea yaani kubadili mazingira.
huu utaratibu umekua unawashangaza watu wangu wakalibu, kwani naweza kufunga safari ghafra nikaenda mahali penye umbali saana kidogo kwajambo moja tuu, kukaa nakupumzika hapo masaa kadhaa kisha narejea nyumbani.