That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHINtu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?
Hata ma chimp pia, tena nimeambhwa wao huwa wanahonga pia
Prof J.P. Mrema pale SUA alituambia class namnukuu "I hate sex i have done it very rarely and only for reproduction purpose" akatuacha hoi .........!!!!
Hujaelewa mada. Soma upya.That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Si kweli kwamba ni binadamu na Dolphins tu ndio wanafanya 'sex' for fun...Masokwe aina ya Bonobo wa misitu ya Congo hutumia sex kama njia mojawapo ya kubond kifamilia na between families, ni moja kati ya wanyama ambao wanafanya sex mara nyingi sana kwa siku duniani. Nguruwe hufanya sex kwa starehe pia, hata ukiweka madume watupu wa Nguruwe basi watageuzana (lawitiana) kwa zamu...Nguruwe na Sokwe Bonobo ni kati ya wanyama ambao wameonyesha mahusiano ya jinsia moja (homosexual) kwa madume.
Asisahau pia na nguruwe, wakiwa kwenye heat wanalia kabisa. Na pia wana tabia ya kufanya "ubakaji".That is not true. Just think of how dogs and goats to mention but a few nuggingly run after a female colleague on heat.
Yes hiyo ni kweli hata mi nilishaisikia long ago, although nguruwe anakaa kwenye orgasm for 30 mins
Nguruwe ni kiboko na mtaalamu wa haya masuala.