Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo