Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
tatizo la kuota mchana halafu una njaa!Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
Pombe ,punguza ,mitungiBei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
KWANI NI POMBE YA KISUNGURABei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
Unawaza ki Magharibi kila mtu awe na maisha mazuri alale pazuri asiekuwa na kazi au mgonjwa serikali imsaidie..hii ni Africa, mwendo wa kulingiana na kuchekana bro,hata wananchi wenye uwezo hawatakubali hivo.watainunuwa na kuificha ili iadimike wapandishe bei.Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
Serikali kupitia waanasiasa wanatoa ruzuku kwenye kilimo tu. Yaani nchi hii utanunua mbolea na mbegu kwa ruzuku ila sio dawa hospitali wa mafuta ya gari yako wala cement na ndoto.Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida
Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
Hakuna jambo lisilowezekanaUnawaza ki Magharibi kila mtu awe na maisha mazuri alale pazuri asiekuwa na kazi au mgonjwa serikali imsaidie..hii ni Africa, mwendo wa kulingiana na kuchekana bro,hata wananchi wenye uwezo hawatakubali hivo.watainunuwa na kuificha ili iadimike wapandishe bei.
Serikali ndo uwezo wa kutengeneza mazingira ya mfuko kuuzwa elfu 5mkuu hebu anzisha kiwanda Cha kuzalisha cement, ili utoe mfano kwa vitendo.