Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

Unamaanisha STARBAG?
Kama una maanisha Strabag hawa jamaa si ndo walijenga hiyo njia ya mwendokasa hapo kwenye mafuriko? Walishuri chochote kama athari za baadae serikali ikakataa? Hawafai. Kwanza hawa ni wa Austria so nashauri project hii wapewe waholanzi maana ni wakongwe wa ku chalenji nature
 
Mto msimbazi wanaweza wayavuta Maji ya bahari hadi Pugu then Pakawa na usafir wa boti toka Pugu hadi jangwani
 
Mkuu bila wasiwasi wapewe RABAG International hawa walijenga mwendokasi miaka ile ya 2015
Strabag......shida yao bei kubwa linganisha na mchina lipua lipua miaka 5 kwisha...dutch wako high quality sanaaa.....bei ndefu pia
 
Waholanzi wametoa 30ml USD, bajeti ya mradi ni 230ml USD ambayo pesa nyingine ni mkopo. Apewe mtu kwa ubora wake na sio kwa sababu ametoa 10% tu ya pesa yote ya mradi na kujitangaza kwa media zote ni msaada. Kama wachina au wengine wakija na bei nzuri na ubora wapewe mradi.
 
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.

Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.

Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga miradi ya namna hii. ( Land Reclaimation Projects).

Kama nchi hii tunataka tufanye jambo zuri kwa mara ya kwanza ili kuwafundisha vizazi vijavyo namna bora ya kutumia akili walizopewa na Mungu basi mradi wa Bonde la Mto Msimbazi pamoja na Daraja la Jangwani tuwape waholanzi.

Muwe na Jumapili Njema.
Huamini wataalam wako?
 
Kupendekeza waholanzi sio tu kwa kuwa wametoa hela. Hawa ndo mabingwa wa kujenga miradi ya namna hii duniani.
 
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.

Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.

Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga miradi ya namna hii. ( Land Reclaimation Projects).

Kama nchi hii tunataka tufanye jambo zuri kwa mara ya kwanza ili kuwafundisha vizazi vijavyo namna bora ya kutumia akili walizopewa na Mungu basi mradi wa Bonde la Mto Msimbazi pamoja na Daraja la Jangwani tuwape waholanzi.

Muwe na Jumapili Njema.
Kuna SUMA JKT, Mayanga, Wachina wanatoa commission nzuri
 
Huo mradi wakimpa mchina tumeumia

Ova
 
Waholanzi wametoa 30ml USD, bajeti ya mradi ni 230ml USD ambayo pesa nyingine ni mkopo. Apewe mtu kwa ubora wake na sio kwa sababu ametoa 10% tu ya pesa yote ya mradi na kujitangaza kwa media zote ni msaada. Kama wachina au wengine wakija na bei nzuri na ubora wapewe mradi.
Waholanzi ndio Bora Kwa miradi wa kumanage maji. Amsterdam ni jiji ambalo lipo chini kabisa ila mifereji yao mikubwa(canals) ndio inasababisha hakuna mafuriko.
 
Kwani sisi tuko serious basi au tunajua tunataka kudhibiti nini?
Serikalini wengi wanawaza maokoto! Mradi utokee usitokee kwa ubora upi hakuna atakae jali!
 
Waholanzi ndio Bora Kwa miradi wa kumanage maji. Amsterdam ni jiji ambalo lipo chini kabisa ila mifereji yao mikubwa(canals) ndio inasababisha hakuna mafuriko.
Kweli ule mji hata mvua inyeshe vipi huwezi ona mbilinge zote za mto msimbazi na umejengwa kwenye eneo la maji
 
is a very easy technology anybody can do that, hakuna chochote cha ajabu hapo labda kama ungesema mnataka kuhamisha bahari …
 
Back
Top Bottom