Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sisi ni wepesi kupenda vitu vipya na vizuri ila hatujui kufanya matengenezo na marekebisho, tumeshindwa kuziba mivujo kwenye mabanda ya mwendokasi sembuse automated bridges, hata kuweka lublicants hatuwezi
 
Back
Top Bottom