BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kama una maanisha Strabag hawa jamaa si ndo walijenga hiyo njia ya mwendokasa hapo kwenye mafuriko? Walishuri chochote kama athari za baadae serikali ikakataa? Hawafai. Kwanza hawa ni wa Austria so nashauri project hii wapewe waholanzi maana ni wakongwe wa ku chalenji natureUnamaanisha STARBAG?
Wazungu hawana ujinga huoWanatoaga 10% kwa muuza kazi?
Strabag......shida yao bei kubwa linganisha na mchina lipua lipua miaka 5 kwisha...dutch wako high quality sanaaa.....bei ndefu piaMkuu bila wasiwasi wapewe RABAG International hawa walijenga mwendokasi miaka ile ya 2015
Huamini wataalam wako?Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.
Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga miradi ya namna hii. ( Land Reclaimation Projects).
Kama nchi hii tunataka tufanye jambo zuri kwa mara ya kwanza ili kuwafundisha vizazi vijavyo namna bora ya kutumia akili walizopewa na Mungu basi mradi wa Bonde la Mto Msimbazi pamoja na Daraja la Jangwani tuwape waholanzi.
Muwe na Jumapili Njema.
Niamini hawa walevi na wahuni wanaowaza upigaji tu?Huamini wataalam wako?
Wewe ni mtumwaNiamini hawa walevi na wahuni wanaowaza upigaji tu?
Waholanzi ndo mabingwa duniani kwa miradi ya namna hiiSiyo wapewe waarabu wa dubei?
Kupendekeza waholanzi sio tu kwa kuwa wametoa hela. Hawa ndo mabingwa wa kujenga miradi ya namna hii duniani.Waholanzi wametoa 30ml USD, bajeti ya mradi ni 230ml USD ambayo pesa nyingine ni mkopo. Apewe mtu kwa ubora wake na sio kwa sababu ametoa 10% tu ya pesa yote ya mradi na kujitangaza kwa media zote ni msaada. Kama wachina au wengine wakija na bei nzuri na ubora wapewe mradi.
Kuna SUMA JKT, Mayanga, Wachina wanatoa commission nzuriNimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.
Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga miradi ya namna hii. ( Land Reclaimation Projects).
Kama nchi hii tunataka tufanye jambo zuri kwa mara ya kwanza ili kuwafundisha vizazi vijavyo namna bora ya kutumia akili walizopewa na Mungu basi mradi wa Bonde la Mto Msimbazi pamoja na Daraja la Jangwani tuwape waholanzi.
Muwe na Jumapili Njema.
Hapa ndipo pana tatizoKuna SUMA JKT, Mayanga, Wachina wanatoka commission nzuri
Be it mswahili au mchina. TumeumiaHuo mradi wakimpa mchina tumeumia
Ova
Waholanzi ndio Bora Kwa miradi wa kumanage maji. Amsterdam ni jiji ambalo lipo chini kabisa ila mifereji yao mikubwa(canals) ndio inasababisha hakuna mafuriko.Waholanzi wametoa 30ml USD, bajeti ya mradi ni 230ml USD ambayo pesa nyingine ni mkopo. Apewe mtu kwa ubora wake na sio kwa sababu ametoa 10% tu ya pesa yote ya mradi na kujitangaza kwa media zote ni msaada. Kama wachina au wengine wakija na bei nzuri na ubora wapewe mradi.
Kwani sisi tuko serious basi au tunajua tunataka kudhibiti nini?Waholanzi ndio Bora Kwa miradi wa kumanage maji. Amsterdam ni jiji ambalo lipo chini kabisa ila mifereji yao mikubwa(canals) ndio inasababisha hakuna mafuriko.
Kweli ule mji hata mvua inyeshe vipi huwezi ona mbilinge zote za mto msimbazi na umejengwa kwenye eneo la majiWaholanzi ndio Bora Kwa miradi wa kumanage maji. Amsterdam ni jiji ambalo lipo chini kabisa ila mifereji yao mikubwa(canals) ndio inasababisha hakuna mafuriko.