Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Apr 20, 2024 #41 Limeanza kujengwa?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Apr 20, 2024 #42 Lord denning said: Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Click to expand... Sisi ni wepesi kupenda vitu vipya na vizuri ila hatujui kufanya matengenezo na marekebisho, tumeshindwa kuziba mivujo kwenye mabanda ya mwendokasi sembuse automated bridges, hata kuweka lublicants hatuwezi
Lord denning said: Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Click to expand... Sisi ni wepesi kupenda vitu vipya na vizuri ila hatujui kufanya matengenezo na marekebisho, tumeshindwa kuziba mivujo kwenye mabanda ya mwendokasi sembuse automated bridges, hata kuweka lublicants hatuwezi