DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Muulize Magufuli?? Ndo atakupa habari nzima.Hata akiwa na back up ya watu billioni moja, kama amefanya jinai atapata stahili yake, saivi Mbowe analala na kunguni na hakuna chawa wake yoyote anayeweza fanya lolote, wote mikia ipo ndani kama mbwa koko.
Sasa si mfungeni si mna dora?Hata akiwa na back up ya watu billioni moja, kama amefanya jinai atapata stahili yake, saivi Mbowe analala na kunguni na hakuna chawa wake yoyote anayeweza fanya lolote, wote mikia ipo ndani kama mbwa koko.
Kwani si ananyea debe saivi au wewe umemuona anakunywa Konyagi sehemu?Sasa si mfungeni si mna dora?
"Dora" ndiyo nini? Hii JF imevamimiwa na vilaza siku hizi, ndiyo maana wakongwe wanakimbiaSasa si mfungeni si mna dora?
Kesi gani hiyo ambayo dunia nzima inajua ni ya kubambika??Hata akiwa na back up ya watu billioni moja, kama amefanya jinai atapata stahili yake, saivi Mbowe analala na kunguni na hakuna chawa wake yoyote anayeweza fanya lolote, wote mikia ipo ndani kama mbwa koko.
Kawaulize chawa wake Mbowe, wanaijua vyema hiyo jinai.Jinai gani hiyo ya kubambika??
Kwa nini watu mchague upande kwenye kesi ambayo haijahukumiwa bado? Tusubiri tuone kama tuhuma zinazomkabili ni za kweli au zakubuni tu mahakama ipo, na yupo na mawakili makini, hivyo haki yake itapatikana tu soon or later.Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya.
Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani.
Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje.
Mimi naona hii ligi mmechokoza pabaya sana . time will tell.
Mbowe huyu nayemjua leo hii ndo mnajipima naye ubavu aaaaha! Kweli watu mmekosa maarifa huu mfupa ulimshinda kayafa sembuse nyie ..