Ni vyema mkiwa mnatoa 'Press Releases' kama hii pia mtuambie wenye Akili sababu ni nini au kumetokea nini sawa?

Ni vyema mkiwa mnatoa 'Press Releases' kama hii pia mtuambie wenye Akili sababu ni nini au kumetokea nini sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako.

Chanzo: Simba Sports Club

Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa Simba SC kuna matatizo huwa hamtuelewi ila nashukuru Mungu taratibu tu yale ambayo nimeyasema na huwa nayasema hapa ( hasa kuhusu Matatizo ) yaliyoko ndani ya Klabu ya Simba sasa yanajidhihiri.

Kocha mzuri na mkubwa kama huyu tena aliyeboresha Viwango vya Makipa wote Watatu akina Manula, Beno na Salim hawezi tu kuamua Kuondoka Simba SC hivi hivi ila ni lazima tu kuwa 'Uswahili' ambao ameuona na hajaupenda na kwa Waafika Kusini walivyo 'very Profession' hawezi Kuuvumilia.

Ninaanza kuhisi kuwa kwakuwa kule Yanga SC kuna 'Msauzi' Mwenzake nampa 85% zote huenda akahamia huko Kwao.
 
Huyo kocha familia yake imemlazimisha kurudi nyumbani S.A. Inasemekana familia ya huyo kocha haijapendezwa na mazingira ya kuishi Tanzania hali ilopelekea Kocha kukubali dili la kujiunga na O.P
 
Huyo kocha familia yake imemlazimisha kurudi nyumbani S.A. Inasemekana familia ya huyo kocha haijapendezwa na mazingira ya kuishi Tanzania hali ilopelekea Kocha kukubali dili la kujiunga na O.P
Kwahiyo Tanzania ni 'Kuchafu' au?
 
Back
Top Bottom