Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA)
Lakini basata wanapaswa kuwa ndio chujio la nyimbo zote nchini tanzania, kusema mtu ataimbia mitaani kunaondoa umaana wa chombo hicho kuwepo.mpaka uwe mwana-chama wa BASATA, na vile Ney alijivua uanachama mwaka jana, nafikiri
so anafaya mziki 'mtaani'
uko sahihi ila , labda ichi ndicho kinachowafungaLakini basata wanapaswa kuwa ndio chujio la nyimbo zote nchini tanzania, kusema mtu ataimbia mitaani kunaondoa umaana wa chombo hicho kuwepo.
Kama wanachama wa basata na anatambuliwa na basata.Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
View attachment 2407230