Pre GE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliyekuzaa kalamba garasha, ila ni maoni yangu mimi kama mimi yanaweza kuwa siyo sahihi kwa watu dizain ya Bashite
Catch you well, bashite, si mtu sahihi, lakini anachofanya ndicho sahihi,anapafika pale ambapo hapafikiki aidha palipuuzwa na watekelezaji kwa rushwa na ya aina hiyo.
 
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mbowe akipanda chopa kuzunguka nchi nzima huwa ni bure na mafuta anawekewa?
 
Naomba useme ni wapi ameweza kutatua zaidi ya kurudisha Kwa wahusika ni wapi matatizo ya.watu yanaweza kutatuliwa kwenye mkutano wa hadhara je.anaweza kufikia watanzania wengi wenye shida mbalimbali Kila Kona matatizo ya watu walio wengi yanatatuliwa Kwa kutumia mfumo sio mtu kutembea barabarani .Tuna vyombo vya kufanya kazi hiyo kwenye mikoa tatizo havifanyi kazi vizuri ndio eneo tunatakiwa kuboresha Kwa kupata viongozi waliochaguliwa na wananchi
 
Karudishwa tuache kuongea kushutumu kulaani na kukemea madudu ya ChukuwaChakoMapema!
Janja ya nyani hao!
 
Catch you well, bashite, si mtu sahihi, lakini anachofanya ndicho sahihi,anapafika pale ambapo hapafikiki aidha palipuuzwa na watekelezaji kwa rushwa na ya aina hiyo.
Matendo ya mtu ndiyo humfanya awe sahihi au asiwe sahihi kwenye jamii. Sasa kama umekiri kuwa Bashite si mtu sahihi sasa iweje matendo yake yawe sahihi
 
Uchawa ni ugojwa mbaya sana kuliko hicho unachokiita negativity!! Isee, unaita drama kuwa ni uchapakazi. Something wrong with your mindset.
 
Uchawa ni ugojwa mbaya sana kuliko hicho unachokiita negativity!! Isee, unaita drama kuwa ni uchapakazi. Something wrong with your mindset.
unaumiza na kuchakaza moyo na akili yako kwa chuki binafsi bure tu kwa wanaofanya yao kwa bidii 🐒

na hakuna namna nyingine nikuchukua, kuweka waaaaaa......
 
Reactions: Tui
Ni bora ujinga wa kumshangilia anayethubutu kukumbatia mbuyu, hata kama atashindwa kukutanisha mikono yake lakini amethubutu, kuliko ujinga wa kuburuzwa na sauti ya mtu mmoja miaka nenda rudi kama manyumbu!
 
Bwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Meneja wa Makampuni, kama sikosehi kuna siku ulibandika CV ukitafuta kazi nadhani kwenye sector ya mafuta na gas. Unafikri husipokuwa objective kuhusu Makonda ndiyo utaipata hiyo kazi?

Makonda siyo jasiri hata kidogo hisipokuwa ni muigizaji mzuri. Zaidi ya yote ni mtu mwenye tamaa na mpenda sifa. Kazi ya uenezi aliyopewa anaona haimtoshi na ameamua kufanya kazi za m/kiti na katibu mkuu wa chama.
 
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize wananchi wa Mkata.Alipiga simu moja na mota ikatengenezwa na maji yanaendelea kutoka.
 
Waulize wananchi wa Mkata.Alipiga simu moja na mota ikatengenezwa na maji yanaendelea kutoka.
Inawezekana sawa kwa Mkata, lakini tutegemee nchi kuendeshwa kwa maigizo ya aina hii ili kupata maendeleo? Makonda ni comedian mzuri.
 
Drama kama zinasaidia watu Kuna tatizo?

View: https://youtu.be/Y0cWAc557bI?si=V4-o2nT9KTAtBIDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…