Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya aibu sana.Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Naona wakubwa wanajieleza mbele yake kwa kumuogopa. Why?.
🤣🤣🤣Bwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Catch you well, bashite, si mtu sahihi, lakini anachofanya ndicho sahihi,anapafika pale ambapo hapafikiki aidha palipuuzwa na watekelezaji kwa rushwa na ya aina hiyo.Aliyekuzaa kalamba garasha, ila ni maoni yangu mimi kama mimi yanaweza kuwa siyo sahihi kwa watu dizain ya Bashite
Kwani Mbowe akipanda chopa kuzunguka nchi nzima huwa ni bure na mafuta anawekewa?Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karudishwa tuache kuongea kushutumu kulaani na kukemea madudu ya ChukuwaChakoMapema!Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Ukitoa 15m/- hata uongee utumbo utasikilizwa tu...!
Sio jasiri bhana ila mamlaka na nguvu anayopewa na mama ndio inampa ujasiriBwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Na MAZEZETA." Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Matendo ya mtu ndiyo humfanya awe sahihi au asiwe sahihi kwenye jamii. Sasa kama umekiri kuwa Bashite si mtu sahihi sasa iweje matendo yake yawe sahihiCatch you well, bashite, si mtu sahihi, lakini anachofanya ndicho sahihi,anapafika pale ambapo hapafikiki aidha palipuuzwa na watekelezaji kwa rushwa na ya aina hiyo.
Uchawa ni ugojwa mbaya sana kuliko hicho unachokiita negativity!! Isee, unaita drama kuwa ni uchapakazi. Something wrong with your mindset.with negative mindset,
your are completely and totally blind politically speaking [emoji205]
never ever!
huwezi ona au kuelewa chochote with negativity [emoji205] huwezi!!! na haiwezikani mpaka utakapopona hiyo homa mbaya sana ya negative mindset disorder.
Na sio kwa huyu mjamaa tu , hata kwa mambo mengine with negativity huwezi move on
ni mbaya sana aise
unaumiza na kuchakaza moyo na akili yako kwa chuki binafsi bure tu kwa wanaofanya yao kwa bidii 🐒Uchawa ni ugojwa mbaya sana kuliko hicho unachokiita negativity!! Isee, unaita drama kuwa ni uchapakazi. Something wrong with your mindset.
Ni bora ujinga wa kumshangilia anayethubutu kukumbatia mbuyu, hata kama atashindwa kukutanisha mikono yake lakini amethubutu, kuliko ujinga wa kuburuzwa na sauti ya mtu mmoja miaka nenda rudi kama manyumbu!Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.
Meneja wa Makampuni, kama sikosehi kuna siku ulibandika CV ukitafuta kazi nadhani kwenye sector ya mafuta na gas. Unafikri husipokuwa objective kuhusu Makonda ndiyo utaipata hiyo kazi?Bwana we Makonda ni jasiri ndugu yangu hiyo ndio sifa pekee inayofanya awe hivyo simu mtapigiwa na mtapokea. Ngoja nilale kama hutaki kupigiwa simu chapa kazi.
Waulize wananchi wa Mkata.Alipiga simu moja na mota ikatengenezwa na maji yanaendelea kutoka.Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sawa kwa Mkata, lakini tutegemee nchi kuendeshwa kwa maigizo ya aina hii ili kupata maendeleo? Makonda ni comedian mzuri.Waulize wananchi wa Mkata.Alipiga simu moja na mota ikatengenezwa na maji yanaendelea kutoka.
Drama kama zinasaidia watu Kuna tatizo?Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda".
Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia.
Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi yenye sifa ya kuwa na watu wasiojua wanalolitaka.