Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika.
Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi anapoona dirisha la usajili limefunguliwa na akiona kuna gape la kutikisa kiberiti uwa anawatikisa viongozi wa makolo ili waboreshe maslai yake, Na ndicho anachokifanya kwa sasa, anajua akiwatikisa watachanganyikiwa na kumuita mezani fasta wayamalize.
Kwa maana iyo kilichopo juu ya Chama kwa sasa ni michezo ya kitoto tu na wala Yanga haina interest yoyote na chama, wamalizane uko mambo yao waache kuihusisha yanga kupata sifa na maslai binafsi ya watu