Kwani wanaendelea na chokochoko tena huko? Wengine tayari wameshanyang'anywa silaha haraka haraka! Nasikia na wewe wanakutafuta kuhusiana na matukio kama hayo!Vipi kule Mtwara haikuwezekana hilo jeshi kuwahi kuthibiti lililotokea au ni kwenye siasa tu?
Utanyooka tu. Yaani washamba wanawahenyesha ile mbaya!! Sasa mjanja nani kati ya washamba na wewe mjanja wa kwenye JF??Tumekabidhi nchi kwa washamba na limbukeni wa madaraka
Halafu wanalazimika nyongeza za mishaharaUkiingia tu Zanzibar airport au bandarini wanajeshi na mitutu wapo na wanaongoza watu utasikia " we mjinga pita kule usisimame hapo panga mstari. Yaani never seen before. Afadhali uchaguzi usiwepo kabisa tuishi tu kama mifugo.
Trh 28 hatuongozwi na wahuni, uncivilized and uneducated people.Utanyooka tu. Yaani washamba wanawahenyesha ile mbaya!! Sasa mjanja nani kati ya washamba na wewe mjanja wa kwenye JF??
Wanajeshi wakishachokwa na wao waanze kula vibano
Wanajeshi wakishachokwa na wao waanze kula vibano
Slavery mentality ass!! Thus why you are called Papy!!Trh 28 hatuongozwi na wahuni, uncivilized and uneducated people.
Hopeless comment!Baada ya tume kukabwa Koo na polisi kushindwa kwa hoja na haki... Sasa wanataka msaada wa jwtzz...
CCM Wana Hali mbaya... Makada wapo hawajielewi..
Why hizo nguvu wasizielekeze mtwara kwa islamic state kuliko kudili na wasio hata na runguHata pale linapoona Kuna uwezekano nchi ikaingia vitani kwasababu ya wapuuzi wachache.Ni lazima ulidhibiti tatizo kabla halijawa kubwa.
Kwa kupigwa kwake taifa linakombolewaSlavery mentality ass!! Thus why you are called Papy!!
Slavery mentality ass!! Thus why you are called Papy!!
Hopeless comment!
Mkoloni mweusi arudi kwaoSlavery mentality ass!! Thus why you are called Papy!!
Njoo uone mji wa Zanzibar ulivyo shwari kwa sasa hivi hakuna chokochoko yoyote kesho ni kupiga kura na kwenda nyumbani kwako.Ujumbe wa Vijana wa ACT Wazalendo kwa Mkoloni Mweusi
Pamoja na Majeshi na Wasiojulikana Polisi na wenzao Vijana shupavu wa ActWazalendo wafikisha UjumbeBaada ya tume kukabwa Koo na polisi kushindwa kwa hoja na haki... Sasa wanataka msaada wa jwtzz...
CCM Wana Hali mbaya... Makada wapo hawajielewi..
Waliambiwa tatueni kero za muungano wakaweka pamba yasingetokea hayaUjumbe wa Vijana wa ACT Wazalendo kwa Mkoloni Mweusi
Hakuna tusi hapo au lugha ya mabeberu inakupiga chenga! Hopeless siyo tusi mkuu wala slavery mentality siyo tusi. Please be informed accordingly!!Upuuzi tu....
Povu la nn... Matusi ya nn...
Huna hoja.. !!!
Karibu Zanzibar iliyotulia tuliii!!Waliambiwa tatueni kero za muungano wakaweka pamba yasingetokea haya
Mkuu ikiwa kuna viashiria vyovyote vya uvunjigu wa amani ya nchi, tilia umuhimu neno hili ''UVUNJIFU WA AMANI YA NCHI'' majeshi yote kwa pamoja ambayo ni JWTZ, POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA JESHI LA AKIBA (MGAMBO) wanalo jukumu la kushirikiana na kuhakikisha amani ya nchi inarejea katika hali yake ya kawaida.Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi:
1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa kuziona na kuzipigania. Walihusika kukusanya taarifa kuhusu diplomasia ya kimataifa , uchumi nk na kusambaza taarifa kwenye mamlaka husiku kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Hawa kwa Ulimwengu wa Sasa tunaweza sema ni search engine au Google ya nchi, kila taarifa unaweza ipata.
2. Polisi walikabidhiwa ulinzi wa raia na Mali zao
3. JWTZ walikabidhiwa ulinzi wa mipaka dhidi ya maadui wa nje wanaotaka kulivamia taifa letu.
4. Uhamiaji walipewa udhibiti mipakani kuchuja wakuingia na kutoka.
5. Magereza ilikua sehemu yakuhifadhi watuhumiwa na wahalifu pamoja na kuwafunza namna yakuachana na uhalifu, kurekebisha tabia.
Lakini baadaye kikaongezeka chombo kingine kinaitwa TAKUKURU kinachofuatilia usalama wa rasilimali Mali zetu,maadili na utoaji huduma pamoja na kudhibiti rushwa na viashiria vyake.
Aidha, vyombo vyote hivi vina uniform ambazo nikisoma kwenye websites na machapisho mbalimbali online zimeainishwa vyema kabisa kwa ajili ya mwananchi kujua na kumtambua vyombo vyetu japo katika mazingira flani ndani ya vyombo wapo Askari kanzu.
Lengo langu kuu ni kuhusiana clip inayosambaa ikielezwa ni ya Zanzibar na hata hapa janvini ipo. Clip ile inaonyesha askari mwenye nguo za JWTZ, Polisi na uniform nyeusi ambazo hazijasajiliwa kwenye chombo chochote kwa mujibu wa uniform za taasisi zetu. Lakini pia uniform uvaliwa na watu nadhifu na kwa unadhifu. Ukiangalia hii clip unabaini hawa wenye uniform nyeusi wamenyoa mnyoo usioendana na vyombo vyetu lakini pia mitutu ya slaha walizoshika imeelekezwa kwa raia kinyume kabisa na ukubwa na nguvu ya raia waliolengwa. Sasa basi, naomba tuelimishane kwa lengo lakujifunza
1. Ni wakati gani JWTZ anaingia mtaani kukabiliana na raia?
2. Hizi uniform nyeusi ni za Jeshi gani?
3. Vyombo vyetu vipo tayari kukubaliana na taarifa chafu kwamba hizi ni uniform za Butundi? Kwanini tusilitolee majibu kuvisafisha vyombo vyetu kutoka kwenye maneno ya watu wasiovitakia mema vyombo hivi?
4. Zanzibar ipo vitani?