Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajibu kama upo kwenye matuta ya viazi. Mtoa mada amepose very logical questions. Kama hujui fuatilia mjadala ujifunze.Jeshi halipangiwi na raia nini cha kufanya, liko kwa kazi moja tu kuhakikisha nchi unakuwa salama muda usiku na mchana 24/7
Wewe endelea na maisha yako kama Jana juzi na Leo na wao waache waendelee na majukumu yao Aisha mipakani makambini au mitaani wewe yahakuhusu
Tayari amsterdam na wenzie kutoka nje wanataka kulivamia taifa letu so JWTZ ina sababu ya kuingia mtaani3. JWTZ walikabidhiwa ulinzi wa mipaka dhidi ya maadui wa nje wanaotaka kulivamia taifa letu.
Lisu alikuwa anamgonga sasa akamuacha akaenda oa mwingine ndio analalamika kasalitiwaAmekusaliti kwa lipi?
CCM hamna hoja
Hapo ukute ata mkono mmoja umeshika simu yako na mwingine glass yenye kinywaji same time unakuna na kuchezea kende. Bado unataka uhuru na haki eti.Wanajeshi wakishachokwa na wao wataanza kula vibano
Hayo ni maisha yenu nyie Magusadi Mimi waandaa Molotov Cocktail hapa nilipo.Hapo ukute ata mkono mmoja umeshika simu yako na mwingine glass yenye kinywaji same time unakuna na kuchezea kende. Bado unataka uhuru na haki eti.
Unawasikia au unauliza habari ya Al-shabab?Kwani wanaendelea na chokochoko tena huko? Wengine tayari wameshanyang'anywa silaha haraka haraka! Nasikia na wewe wanakutafuta kuhusiana na matukio kama hayo!
Kamanda Mbowe aliombea Taifa lililofanywa kama DARFUR na Magufuli
Nchi ni nini?Jeshi halipangiwi na raia nini cha kufanya, liko kwa kazi moja tu kuhakikisha nchi unakuwa salama muda usiku na mchana 24/7
Wewe endelea na maisha yako kama Jana juzi na Leo na wao waache waendelee na majukumu yao Aisha mipakani makambini au mitaani wewe yahakuhusu
Leta hoja acha UjingaKonyagi sio nzuri
Majukumu ni hayohayo hayajabadilika; usichokijua ni tafsiri ya ulichoandika. JWTZ pia ina inteligency yake inayobaini maadui wanaotaka kuvamia. Aina ya maadui ni ileile ila mifumo ya uadui inabadilika kutokana na mabadiliko ya kiteknologia. Mfano, Amsterdam na mashoga wenzie na wenye kuhitaji vurugu ndani ya nchi ili waweze kupora walichokihitaji, hawaji direct wanatumia makuwadi na mifumo mingine ya kiteinolojia ili kufanikisha azma yao.. JWTZ walikabidhiwa ulinzi wa mipaka dhidi ya maadui wa nje wanaotaka kulivamia taifa letu.
Wananchi wameamua Jambo laoMgombea wenu ana defects in his mental health hivyo hawezi pewa nchi ever!!
Jeshi ulinda nchi halilindi mtawala anaevuna alichopanda.Majukumu ni hayohayo hayajabadilika; usichokijua ni tafsiri ya ulichoandika. JWTZ pia ina inteligency yake inayobaini maadui wanaotaka kuvamia. Aina ya maadui ni ileile ila mifumo ya uadui inabadilika kutokana na mabadiliko ya kiteknologia. Mfano, Amsterdam na mashoga wenzie na wenye kuhitaji vurugu ndani ya nchi ili waweze kupora walichokihitaji, hawaji direct wanatumia makuwadi na mifumo mingine ya kiteinolojia ili kufanikisha azma yao.
Hivyo jeshi litakuwa mitaani kulinda mipaka ile anapitia amsterdam et al.
Hiyo ni kazi yao wakati wanaoona wao unafaa hutakiwi kujadili Hilo, kipindi hiki kama hujui ndio kipindi kigumu Sana kwa viongozi wa ulinzi kitaifa, lolote linaweza kutokea
Acheni watu wafanye kazi zao nyie zinawahusu nini mpaka mnauliza uliza