Uchaguzi 2020 Ni wakati gani JWTZ inapaswa kuingia mtaani kushiriki shughuli za kisiasa na kutuliza ghasia?

Upepo wa mabadiliko hauzuliki kwa mabomu bali kwa maridhiano, uzuri wanaowategemea awajawaongezea mishahara 5 yrs hapa patamu tuone watakavyogeukwa awatoamin
Mgombea wenu ana defects in his mental health hivyo hawezi pewa nchi ever!!
 
Ukiingia tu Zanzibar airport au bandarini wanajeshi na mitutu wapo na wanaongoza watu utasikia " we mjinga pita kule usisimame hapo panga mstari. Yaani never seen before. Afadhali uchaguzi usiwepo kabisa tuishi tu kama mifugo.
Amani ikikosekana nyie ndiyo wa kwanza kulaumu. Amani inaaimalishwa bado tena mnalalamika kenge nyie.
 
Siku hizi jeshi linakusanya korosho na TISS wanatumika kusaidia ccm kuiba kura
 
Ukiingia tu Zanzibar airport au bandarini wanajeshi na mitutu wapo na wanaongoza watu utasikia " we mjinga pita kule usisimame hapo panga mstari. Yaani never seen before. Afadhali uchaguzi usiwepo kabisa tuishi tu kama mifugo.
Tuliwaambia wahuni wote watanyooka tu bado imhotep hana taarifa sahihi mjulishe ili ajue kuwa TZ ni ya Watz siyo vibaraka.
 
Hiyo ni kazi yao wakati wanaoona wao unafaa hutakiwi kujadili Hilo....kipindi hiki Kama hujui ndo kipindi kigumu Sana kwa viongozi wa ulinzi kitaifa lolote linaweza kutokea

Acheni watu wafanye kazi zao nyie zinawahusu Nini mpaka mnaulizwa uliza
Afande mbona unepanick, mabox ya kura za wizi yako kwako nini?
 
Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi:
1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa kuziona na kuzipigania. Walihusika kukusanya taarifa kuhusu diplomasia ya kimataifa , uchumi nk na kusambaza taarifa kwenye mamlaka husiku kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Hawa kwa Ulimwengu wa Sasa tunaweza sema ni search engine au Google ya nchi, kila taarifa unaweza ipata.

2. Polisi walikabidhiwa ulinzi wa raia na Mali zao

3. JWTZ walikabidhiwa ulinzi wa mipaka dhidi ya maadui wa nje wanaotaka kulivamia taifa letu.

4. Uhamiaji walipewa udhibiti mipakani kuchuja wa kuingia na kutoka.

5. Magereza ilikua sehemu yakuhifadhi watuhumiwa na wahalifu pamoja na kuwafunza namna yakuachana na uhalifu, kurekebisha tabia.

Lakini baadaye kikaongezeka chombo kingine kinaitwa TAKUKURU kinachofuatilia usalama wa rasilimali Mali zetu,maadili na utoaji huduma pamoja na kudhibiti rushwa na viashiria vyake.

Aidha, vyombo vyote hivi vina uniform ambazo nikisoma kwenye websites na machapisho mbalimbali online zimeainishwa vyema kabisa kwa ajili ya mwananchi kujua na kumtambua vyombo vyetu japo katika mazingira flani ndani ya vyombo wapo Askari kanzu.

Lengo langu kuu ni kuhusiana clip inayosambaa ikielezwa ni ya Zanzibar na hata hapa janvini ipo. Clip ile inaonyesha askari mwenye nguo za JWTZ, Polisi na uniform nyeusi ambazo hazijasajiliwa kwenye chombo chochote kwa mujibu wa uniform za taasisi zetu. Lakini pia uniform uvaliwa na watu nadhifu na kwa unadhifu. Ukiangalia hii clip unabaini hawa wenye uniform nyeusi wamenyoa mnyoo usioendana na vyombo vyetu lakini pia mitutu ya slaha walizoshika imeelekezwa kwa raia kinyume kabisa na ukubwa na nguvu ya raia waliolengwa. Sasa basi, naomba tuelimishane kwa lengo lakujifunza

1. Ni wakati gani JWTZ anaingia mtaani kukabiliana na raia?
2. Hizi uniform nyeusi ni za Jeshi gani?
3. Vyombo vyetu vipo tayari kukubaliana na taarifa chafu kwamba hizi ni uniform za Butundi? Kwanini tusilitolee majibu kuvisafisha vyombo vyetu kutoka kwenye maneno ya watu wasiovitakia mema vyombo hivi?
4. Zanzibar ipo vitani?
Sheria za kimataifa haziruhusu kutumia jeshi kipindi Cha uchaguzi, kutumia jeshi kipindi Cha uchaguzi ni kutangaza Vita. Labda utumie jeshi wakiwa wamevaa sare za jeshi la polisi,
 
"Igp Sirro usiwe kiongozi wa Chombo cha ukandamizaji" Sheikh Ponda Issa Ponda
 
Natamani wanajeshi wetu wawe kama wa Malawi. Kazi yao ni kulinda wananchi dhidi uonevu wowote.

Kuna siku itafika. Iwe kesho au ............

Mtu muonevu atapigwa ngeu ya Gafafi
 
Nenda Makao Makuu ya JWTZ ukawaulize usituchoshe bure wakati sisi tunasubiri kumchinjia baharini Msaliti Lissu keshokutwa!
Kibajaji unakuwaga na swaga za kishamba ww dogo,hilo jeshi kwakuwa linawawezesha kupora ushindi,basi unaliona Kama jeshi la US. Kumbe linapambana na raia wasio na silaha.
 
Malalamiko FC
 
Jeshi kipindi Kama Cha uchaguzi wanaongezewa jukumu la kulinda vituo vyote nyeti mfano Airport, Bandani, kituo Cha redio ya Taifa, Vinu vya kufua umeme n.kn.k kwakua Adui anaweza kujipenyeza na kufanya hujuma wakati vikosi vingine vya usalama vikiwa bussy na uchaguzi.
 
Lengo langu kuu ni kuhusiana clip inayosambaa ikielezwa ni ya Zanzibar na hata hapa janvini ipo. Clip ile inaonyesha askari mwenye nguo za JWTZ, Polisi na uniform nyeusi ambazo hazijasajiliwa kwenye chombo chochote kwa mujibu wa uniform za taasisi zetu. Lakini pia uniform uvaliwa na watu nadhifu na kwa unadhifu. Ukiangalia hii clip unabaini hawa wenye uniform nyeusi wamenyoa mnyoo usioendana na vyombo vyetu lakini pia mitutu ya slaha walizoshika imeelekezwa kwa raia kinyume kabisa na ukubwa na nguvu ya raia waliolengwa. Sasa basi, naomba tuelimishane kwa lengo lakujifunza

1. Ni wakati gani JWTZ anaingia mtaani kukabiliana na raia?
2. Hizi uniform nyeusi ni za Jeshi gani?
3. Vyombo vyetu vipo tayari kukubaliana na taarifa chafu kwamba hizi ni uniform za Butundi? Kwanini tusilitolee majibu kuvisafisha vyombo vyetu kutoka kwenye maneno ya watu wasiovitakia mema vyombo hivi?
4. Zanzibar ipo vitani?
Kama hao ni askari wa JWTZ basi inadhihirisha kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika kwa kuwa askari wa JWTZ hawapaswi kutumia silaha zao kwa raia, na kama wanazitumia Zanzibar wakati bara hawazitumii, wanatoa ujumbe kwamba Zanzibar raia wake hawana haki sawa ya uraia sawa na Watanganyika na silaha za JWTZ zinaweza kutumika dhidi yao

La sivyo, kwa kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Wazanzibar ni raia wa Tanzania kama walivyo wale wa bara, na kwa kuwa anaetoa amri ya JWTZ kukamata silaha na kwenda kukabiliana na adui ni raisi, kwa sasa Magufuli, basi atakuwa ametenda dhambi ya uhaini dhidi ya Tanzania yenyewe na hastahili tena kuwa raisi katika mazingira yeyote yale, na hapa siongelei masuala ya uchaguzi.
 
Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi:
1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa kuziona na kuzipigania. Walihusika kukusanya taarifa kuhusu diplomasia ya kimataifa , uchumi nk na kusambaza taarifa kwenye mamlaka husiku kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Hawa kwa Ulimwengu wa Sasa tunaweza sema ni search engine au Google ya nchi, kila taarifa unaweza ipata.

2. Polisi walikabidhiwa ulinzi wa raia na Mali zao

3. JWTZ walikabidhiwa ulinzi wa mipaka dhidi ya maadui wa nje wanaotaka kulivamia taifa letu.

4. Uhamiaji walipewa udhibiti mipakani kuchuja wa kuingia na kutoka.

5. Magereza ilikua sehemu yakuhifadhi watuhumiwa na wahalifu pamoja na kuwafunza namna yakuachana na uhalifu, kurekebisha tabia.

Lakini baadaye kikaongezeka chombo kingine kinaitwa TAKUKURU kinachofuatilia usalama wa rasilimali Mali zetu,maadili na utoaji huduma pamoja na kudhibiti rushwa na viashiria vyake.

Aidha, vyombo vyote hivi vina uniform ambazo nikisoma kwenye websites na machapisho mbalimbali online zimeainishwa vyema kabisa kwa ajili ya mwananchi kujua na kumtambua vyombo vyetu japo katika mazingira flani ndani ya vyombo wapo Askari kanzu.

Lengo langu kuu ni kuhusiana clip inayosambaa ikielezwa ni ya Zanzibar na hata hapa janvini ipo. Clip ile inaonyesha askari mwenye nguo za JWTZ, Polisi na uniform nyeusi ambazo hazijasajiliwa kwenye chombo chochote kwa mujibu wa uniform za taasisi zetu. Lakini pia uniform uvaliwa na watu nadhifu na kwa unadhifu. Ukiangalia hii clip unabaini hawa wenye uniform nyeusi wamenyoa mnyoo usioendana na vyombo vyetu lakini pia mitutu ya slaha walizoshika imeelekezwa kwa raia kinyume kabisa na ukubwa na nguvu ya raia waliolengwa. Sasa basi, naomba tuelimishane kwa lengo lakujifunza

1. Ni wakati gani JWTZ anaingia mtaani kukabiliana na raia?
2. Hizi uniform nyeusi ni za Jeshi gani?
3. Vyombo vyetu vipo tayari kukubaliana na taarifa chafu kwamba hizi ni uniform za Butundi? Kwanini tusilitolee majibu kuvisafisha vyombo vyetu kutoka kwenye maneno ya watu wasiovitakia mema vyombo hivi?
4. Zanzibar ipo vitani?
Tuna hatari sana kama JWTZ wataingilia siasa hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Maadui zetu watapenya kama ilivyotokea Mtwara, askari wetu wakiwa busy na uchaguzi.
 
Back
Top Bottom