Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

anaesema hivo hana uhakika wa mlo kwa siku,,,,

kama una uhakika wa mlo wala huna mahitaji mengi ndio muda sahihi wa kujenga.

kumbuka tu kadri unavokuwa na mahitaji huongezeka so utapochelewa kujenga utazeekea ata kwenye banda la kuku kwa kodi.
Kabisa
 
Achana na maneno ya wahuni waliokata tamaa, walishindwa wao na si wew...

Wakati ni wako, wakat ni huu, wakat ni sas, kama una pesa nakushaur anza mapema sas hivi maana huo utakuja kuwa urithi wa wanao.

Tafta location nzur, mafundi wazuri, na majira mazuri ya ujenz ili usiathiriwe na mvua, wateja ni wengi sana, achana na maneno ya wahuni wa mitandaoni
 
Nyumba ndo maisha yenyewe . mwenzio nikiona wenzangu wanajenga najisemea ivi kwann Mungu hakunipa mume ambaye nikishindwa bas atajenga yeye for our kids.Sad
Jenga mwenyewe!kwani mpaka Mume.Maana mnasema mnaweza hata bilA kuwezeshwa.[emoji36]
 
Habair wanajamii

Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
Usipende sana kusikiliza watu hasa unapotaka kufanya Jambo la Msingi.

Kama umeona fursa kubwa may be Kiwanja eneo zuri na litakalolipa ndani ya muda mfupi, wewe nunua Kiwanja na una uwezo Jenga.
 
Usipende sana kusikiliza watu hasa unapotaka kufanya Jambo la Msingi.

Kama umeona fursa kubwa may be Kiwanja eneo zuri na litakalolipa ndani ya muda mfupi, wewe nunua Kiwanja na una uwezo Jenga.

Yap, anza mapema uwezavyo unaweza hata kuanza na chumba kimoja. Fundi na saidia fundi unaweza kuwa wewe mwenyewe na ndugu / Washikaji.
 
Achana na maneno ya wahuni waliokata tamaa, walishindwa wao na si wew...

Wakati ni wako, wakat ni huu, wakat ni sas, kama una pesa nakushaur anza mapema sas hivi maana huo utakuja kuwa urithi wa wanao.

Tafta location nzur, mafundi wazuri, na majira mazuri ya ujenz ili usiathiriwe na mvua, wateja ni wengi sana, achana na maneno ya wahuni wa mitandaoni

Swala la Ujenzi ni kulichukulia kama swala endelevu kama pesa ni za kuungaunga. Muhimu kuwa na kiwanja kizuri unaweza kujen hata kwa miaka 2, 3, 5, 10.

Leo msingi, kesho kuta,paa, milango, madirisha, finishing taratibu kadri ya uwezo wako.
 
Back
Top Bottom