Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Nimegundua wewe ni kipofu wa akili na macho kama unashindwa kutambua mchango wa Rais Samia hapa Nchini.
Akili wewe huna
Yaani huwa unaandika ujinga na upumbavu mtupu kwani huko mtaani unakoishi hakuna changamoto au kero za wananchi ukawa una ziweka hapa sio kila siku kusifia tu.
 
Akili wewe huna
Yaani huwa unaandika ujinga na upumbavu mtupu kwani huko mtaani unakoishi hakuna changamoto au kero za wananchi ukawa una ziweka hapa sio kila siku kusifia tu.
Dogo mjinga, anatafuta TEUZI kama njia ya mkato kutoboa maisha,TULIZA MSHONO Mchaza, wakati sahihi ukifika mafanikio huja!!

Ukitaka haraka nenda kwa MONDI akupe chanell ya kwenda kwa P DIDDY akachezee SAMBU LA KOPO πŸ€£πŸ˜ƒ
 
Unahangaika Sana na mawazo na akili zako za kijinga za kikabila.
Cheki mkongwe Paskal Mayala alipata kura moja Ubunge alipoomba kuteuliwa, na sasa analeta Maandiko ya kuibeba chama Serikali na kuwapamba Viongozi mpaka Leo hajapata teuzi hajaonwa!

Wewe ni nani uliyekuja JF juzijuzi! we ni maji tone, kama utapata teuzi labda 2038πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜ƒπŸ€£.

Mndali unakataa kabila lako???πŸ€£πŸ˜ƒπŸ€£
 
Kwanini unapenda sana ukabila? Nani na tangia lini ukaambiwa akina Mwashambwa wakawa wandali? Mwashambwa gani uliyemuona hapa Nchini ambaye ni Mndali? Ndio maana nasema wewe huna akili zaidi ya kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
 
Ujinga unakutesa

Mimi siyo chawa bali msema kweli
Sina nia mbaya na wewe ndugu. Ni huruma tu za kibinadamu. Nina uzoefu kiasi fulani na haya mambo. Kuna watu ninawafahamu wengine wa karibu yangu kabisa. Najua kilichowapata na kinachoendelea kuwapata baadhi yao hata sasa. Sisi Wabongo tuna msemo wetu, wa "Kizuri kula na mwezio". Nikaona
nikupe ushauri wa bure kabisa.
Hata hivyo, endapo unachofanya unaona ni sahihi kwa 100% basi unaweza kuendelea. Waswahili wanasema; "Maisha ni Kupanga na Kupanga ni Kuchagua".
Wishing you All the best in Life.
 
Kwanini unapenda sana ukabila? Nani na tangia lini ukaambiwa akina Mwashambwa wakawa wandali? Mwashambwa gani uliyemuona hapa Nchini ambaye ni Mndali? Ndio maana nasema wewe huna akili zaidi ya kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Ambaye huna AKILI ni wewe unayeleta Maandiko yasiyo na kicjwanwala miguu kila siku pambiio za sifa
 
Lucas Mwashambwa the headless chicken, the shithole leaker is here again!
 
Ulitaka nimsifie Mama yako au mama yangu wakati siyo Marais? Tunampongeza Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kugusa Maisha ya watanzania
Samia siyo mama yako wacha ujinga! Msifie mama yako aliyekupeleka shule ukajua kuandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…