Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
- Thread starter
- #21
Hilo nalo neno!Inawezekana lakini pia Inawezekana yeye ndiye aliwezesha Mh Kufika pale alipo kwa njia halali na njia haramu. Ni ngumu sana ukishakuwa blackmailed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo neno!Inawezekana lakini pia Inawezekana yeye ndiye aliwezesha Mh Kufika pale alipo kwa njia halali na njia haramu. Ni ngumu sana ukishakuwa blackmailed
hii ndio posibility kubwa. Vyombo vya Igp vinasaidiana sana na vyombo vya Mama. Symbiosis kubwa ktk uhalifu. Hivyo wanategemeana hakuna mwenye ubavu juu ya mwingineHilo nalo neno!
Siro bado anafaa sana tu Nchi sasa ina amani na Mama anajua fika bila IGP huyo kutoka Kanda ya Ziwa hakuna atakayefaa.Jamani acheni kujitoa ufahamu! Mamlaka ya uteuzi wa IGP ni Rais(whether ni Mama au baba). Hivo mamlaka ya uteuzi ikiona aliye teuliwa ana boronga basi ina Mamlaka ya KUTENGUA UTEUZI,KUSIMAMISHA ,KUFUTWA AU KUFUKUZWA.
Thubutu..mama anamuhitaji sana igp sirro. Huyu ni askari bhana sio mchezo.Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sero kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia.
Tangu Mama Samia ashike madaraka inaonekana IGP Zero hatii kabisa maelekezo ya Rais! Kudhihirisha hili ni juzi wakti Rais akiongea na Maafisa wa Polisi HQ na mikoani alipolilaumu Jeshi la Polisi kwa kuendelea kukaidi maelekezo yake ya kubambikia Watu kesi, watuhumiwa kuuawa mikononi mwa Polisi na kuweka watu mahabusu kwa muda mrefu pasi na ushahidi huku wakisingizia @ upelelezi unaendelea!!! Even kesi ya Mwenyekiti Mbowe iko kwene mlolongo uleule wa kubambikia mtu kumkomoa!!!!
Juzi baada ya shambulio la polisi toka kwa rais Hamza Mohamed na kuua mapolisi 3 na mlinzi 1 kawaida, IGP Sero ameonekana kutoa maneno ya dharau kwa Watanzania kwa kuwalaumu WASIZAE WATOTO KAMA HAMZA MAANA NI BALAA KWA JESHI LA POLISI...Ebho! Yaani kwa akili ya IGP Zero polisi wana thamani sana kuliko mamilioni ya Watz....!!! Hivi nnani anawazaa Polisi wa Tanzania??? IGP Sero amefukuza wangapi kwa ukosefu wa maadili? Je, hao mapolisi walizaliwa na nani?
IGP Zero kesha sahau kabisa kuwa kuna sera ya Jeshi la Polisi inayoitwa: POLISI JAMII AU SHIRIKISHI. Kwamba lazima raia wa Kitanzania washirikishwe kwene ulinzi wa nji hii. Lakini pia IGP Zero amesahau kabisa kuna mamia ya Watz wameuawa na Jeshi la Polisi kwa makusudi kabisa kwa kusingiziwa ni majambazi kwa vile tu walikuwa na fedha au madini yenye thamani ya mamilioni. Watz wanajua hizi habari vizuri sana. Mfano ni kesi ya Zombe na askari wenzake!!
Nawasilisha.
IGO hakuhusika kabisa Mh kufika pale.Inawezekana lakini pia Inawezekana yeye ndiye aliwezesha Mh Kufika pale alipo kwa njia halali na njia haramu. Ni ngumu sana ukishakuwa blackmailed
Yeye kazaliwa na Nani? Kichwa mbovu sana huyu!Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sero kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia.
Tangu Mama Samia ashike madaraka inaonekana IGP Zero hatii kabisa maelekezo ya Rais! Kudhihirisha hili ni juzi wakti Rais akiongea na Maafisa wa Polisi HQ na mikoani alipolilaumu Jeshi la Polisi kwa kuendelea kukaidi maelekezo yake ya kubambikia Watu kesi, watuhumiwa kuuawa mikononi mwa Polisi na kuweka watu mahabusu kwa muda mrefu pasi na ushahidi huku wakisingizia @ upelelezi unaendelea!!! Even kesi ya Mwenyekiti Mbowe iko kwene mlolongo uleule wa kubambikia mtu kumkomoa!!!!
Juzi baada ya shambulio la polisi toka kwa rais Hamza Mohamed na kuua mapolisi 3 na mlinzi 1 kawaida, IGP Sero ameonekana kutoa maneno ya dharau kwa Watanzania kwa kuwalaumu WASIZAE WATOTO KAMA HAMZA MAANA NI BALAA KWA JESHI LA POLISI...Ebho! Yaani kwa akili ya IGP Zero polisi wana thamani sana kuliko mamilioni ya Watz....!!! Hivi nnani anawazaa Polisi wa Tanzania??? IGP Sero amefukuza wangapi kwa ukosefu wa maadili? Je, hao mapolisi walizaliwa na nani?
IGP Zero kesha sahau kabisa kuwa kuna sera ya Jeshi la Polisi inayoitwa: POLISI JAMII AU SHIRIKISHI. Kwamba lazima raia wa Kitanzania washirikishwe kwene ulinzi wa nji hii. Lakini pia IGP Zero amesahau kabisa kuna mamia ya Watz wameuawa na Jeshi la Polisi kwa makusudi kabisa kwa kusingiziwa ni majambazi kwa vile tu walikuwa na fedha au madini yenye thamani ya mamilioni. Watz wanajua hizi habari vizuri sana. Mfano ni kesi ya Zombe na askari wenzake!!
Nawasilisha.
Akitaka anamtoa hajataka tuUna uhakika Mama ana uwezo wa kumwachisha hiyo nafasi? Unajua Role ya IGP kwenye uongozi wa Mama?