Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

Jamani acheni kujitoa ufahamu! Mamlaka ya uteuzi wa IGP ni Rais(whether ni Mama au baba). Hivo mamlaka ya uteuzi ikiona aliye teuliwa ana boronga basi ina Mamlaka ya KUTENGUA UTEUZI,KUSIMAMISHA ,KUFUTWA AU KUFUKUZWA.
Siro bado anafaa sana tu Nchi sasa ina amani na Mama anajua fika bila IGP huyo kutoka Kanda ya Ziwa hakuna atakayefaa.
  • Amefukuza Al Shabab huko Kilwa wakakimbilia Msumbiji
  • Ameondoa Majambazi yaliyokuwa yakipora katika Benki zetu mchana wakishirikiana na wafanyakazi tena wakitumia bodaboda
  • Amemaliza majambazi ya usiku yaliyokuwa yakiteka magari machana kweupe na usiku Tanzania nzima
  • Siro amekomesha wizi wa ng'ombe na mifugo mingine Tanzania nzima
  • Siro amekomesha maandamano ya kipuuzi yasiyoisha ya magaidi eti sasa ni maandamano Nchi nzima na hayatakoma. Leo hakuna hii kitu.
  • Siro ameweza kuonesha ujasiri wa kuwakamata Viongozi waliotumia madaraka vibaya kama Sabaya
  • SIRO IGP aongezewe mingine mpaka 2025
  • Rais asifuate kelele za wanasiasa uchwara sasa ajenge Nchi tunataka Utalii na amalizie kazi za Mwendazake
 
Thubutu..mama anamuhitaji sana igp sirro. Huyu ni askari bhana sio mchezo.
 
Yeye kazaliwa na Nani? Kichwa mbovu sana huyu!
 
IGP Sirro amepita muda wa kustaafu,kwa hiyo he is living on borrowed time.
Lakini akipata matatizo Sirro itakuwa kutoka CCM kwa Hamza alikuwa kada was CCM.
Hamza wanasema alikuwa "mental,ndio màma mama yake alimpeleka Misri aombewe dua".
Ingawa I would like to dispute the suggestion that he was mental.
Lakini lililotokea siyo gumu kuelewa. Amekeenda kule, amepakizwa maneno, amerudi hapa amefanya ugaidi.
Halafu Hawa magaidi walikuwa zaidi ya mmoja siku old? Kwa nini tunaambiwa na shahidi pale kwamba gaidi alipiga magoti,akapigwa risasi? Kwamba gaidi alikuwa anaongea Kiswahili , " lakini siyo Kiswahili cha huku"?
Lakini yule alikuwa gaidi pure and simple na yale maneno yake " sisi vijana was Kiislamu tuko tayari kufa kwa ajili ya Allah."
Lakini ingefaa kuuliza Misri aliongea na Nani.
 
Pamoja na mapungufu yote ya magufuli, alijaliwa uthubutu na sura ya mamlaka. Aliyofanya Sirro angekuwa na uhakika kabisa wa kutumbuliwa kesho yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…