Pre GE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kule Kigoma Kus hakuna Mbunge bora akawasaidie
 
Kafulila ni zaidi ya Mbunge, Kigoma inaviongozi mahiri sana kama,
Mpango, Zitto, Kafulila etc
 
Tanzania inahazina kubwa
 

David ni Mzalendo wa kweli
 
,🤣🤣🤣
 
Leo umeandika point sana,

Nakupongeza sana
 
Mungu ambariki huyu mwamba
 
Arudi Bungeni itapendeza
 
Sina mashaka na Daud kwani ni kiongozi kwa asili
 
Kazi iendelee
 
Tumwombee Kila lenye heri 2mbili
 
Lucas Mwamshamba the Great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…