Pre GE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kafulila ni mwamba halisi aise 2.8bl sio mchezo.
 
Mwashambwa uko vizuri sana🤣🤣
 
Naunga mkono hoja yako, Kuna watu wako Bungeni pale hakuna kitu wanafanya,

Kafulila arejee Bungeni tusikilize madini yake.
 
Kafulila lazima arudi Bungeni , 2025 kutakuwa na Wabunge wa Upinzani hivyo tunahitaji watu wa kujenga hoja zaidi.
 
Kafulila lazima arudi Bungeni , 2025 kutakuwa na Wabunge wa Upinzani hivyo tunahitaji watu wa kujenga hoja zaidi.
Mchango na Sauti ya Mheshimiwa Kafulila inahitajika sana ndani ya Bunge letu hapo mwakani.
 
Sio Ubunge tu hata Uwaziei ni sawa
 
Kafulila Bungeni ni lazima tunamwombea
 
Sina kipingamizi kabisa na huyu Mwamba
 
Kwa kitengo alichopewa kilivyo na pesa na hakina stress za siasa kamwe hawezi kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…